Katika Mahusiano nani anaweza kurejesha Mapenzi yanapopungua?

Katika Mahusiano nani anaweza kurejesha Mapenzi yanapopungua?

Akili ya binadamu huitaji mambo mapya kila baada ya mda ndyo maana watu hutembea kilometres nyingi mno kujifunza mambo mbalimbali,kukutana na watu na vtu kama hvyo.

Hivyo inabid uende mbali na hapo mazngra tofauti,njia tofauti za maongezi na mazoea.
Mapenz hayapungui ila yanakosa afya
 
Back
Top Bottom