Katika maisha fanya mambo kwa kiasi

Katika maisha fanya mambo kwa kiasi

marehem x

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2022
Posts
513
Reaction score
792
Mimi Nina 45 na sina tatizo lolote kiafya. Kimoja Kwa Afya.

Katika Umri wote nilioishi na Allah ananipa punzi najistukia na kuona kila kitu naona ni muhimu kila jambo kufanya kwa kiasi.

Hata kumpenda wife nampenda kwa kiasi sio nipoteze nguvu zote kumuangukia na kununua mazawa kibao. Pipi tu inatosha. Sometimes chupi inatosha.

Sio ninunue Simu kaliii noway.

Nataka kusoma naona pia nisome Kwa kiasi..sio nipoteze mihela etu kwamba nagombana cheo ofsini noway.

Mitungi Kwa kiasi.
Malaya Kwa kiasi.
Marafiki Kwa kiasi.

Akilini mwako kila unalotaka kulifanya Sema kimoyomoyo "naomba nifanye Kwa kiasi"
 
Sentensi ya mwisho Kwenye Uzi wako imekufanya uonekana taahira wa kiwango Cha pro max mbele ya wanna Jf wote.
 
Mimi Nina 45 na sina tatizo lolote kiafya. Kimoja Kwa Afya.

Katika Umri wote nilioishi na Allah ananipa punzi najistukia na kuona kila kitu naona ni muhimu kila jambo kufanya kwa kiasi.

Hata kumpenda wife nampenda kwa kiasi sio nipoteze nguvu zote kumuangukia na kununua mazawa kibao. Pipi tu inatosha. Sometimes chupi inatosha.

Sio ninunue Simu kaliii noway.

Nataka kusoma naona pia nisome Kwa kiasi..sio nipoteze mihela etu kwamba nagombana cheo ofsini noway.

Mitungi Kwa kiasi.
Malaya Kwa kiasi.
Marafiki Kwa kiasi.

Akilini mwako kila unalotaka kulifanya Sema kimoyomoyo "naomba nifanye Kwa kiasi"
Kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom