Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
angalia tu usikufuru... naskia dresscode za wadada wa hq zimebadilika, ceo mwenyewe hajaoa!!! watu hawataki kupitwa na fulsa

Acha uongo wewe, hiyo pete aliyovaa ni ya nini?
Hata hivyo binafsi siwapendi wahindi, labda waarabu.
Huyo mwenye pete ni Rene Meza, ndiye mkurugenzi anayeondoka. Sasa yeye anamzungumzia huyo dogo ndiye mkurugenzi mpya.
Ajajajajaaaaa! Jamaa dogo sana kwakweli.
Ajajajajaaaaa! Jamaa dogo sana kwakweli.
Acha uongo wewe, hiyo pete aliyovaa ni ya nini?
Hata hivyo binafsi siwapendi wahindi, labda waarabu.
Asante Kwa kutukubali waarabu mtoto mzuri