Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Mkurugenzi mpya wa kampuni ya Voda akitambulishwa.
Yani chalii ni yanki kabisa. Hata aliyemtangulia ni kijana mbichi tu. Dah, wakati wengine na madigree yao wakiendelea kupata mshahara wenye digit tano na kutumwa tumwa huku na kule, hawa vijana wadogo wanazungumzia mahesabu ya mabilioni ya pesa ya kampuni wanazoziongoza. Cjui hawa watu walimpa nini Mungu!
https://www.linkedin.com/pub/ian-ferrao/1/830/65b