Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Unajua bwana sisi tuliozaliwa vijijini tumeexperience maisha flani honest sana, yaani maisha yasiyo na unafiki wala makandokando, ila katika harakati za kusaka life huko Mijini, uki apply uhonest wa kijijini kwenu unafeli vibaya sana!
Kukaa mjini kumenifunza mengi, mtu kama ni mshikaji wako hata akifanya ujinga ilimradi yeye anapenda unamsifia tu, akilewa mpaka akazima ilimradi anapenda pombe na kulewa wewe unamsifia tu, ilimradi maisha yasonge.. Mkiambianana ukweli mnakosana, watu hawataki kuambiwa ukweli!
Na mengine mengi tu, Ama hakika Maisha bila Unafiki hayaendi!