Katika maisha unafiki ni muhimu sana!

Katika maisha unafiki ni muhimu sana!

Rafiki ni wachache kama wewe, Kuna rafiki yangu nilimkuta yuko na demu ambae ni Positive kitambo kirefu, asa demu ni mkali hasa utadhani kadownloadiwa.. Mwamba nikamstua asee kuwa mwana apo apafai.. Mchizi akanichukulia Snitch kuwa staki Apate Mtoto Mkali!
Oooops!...lkn bora ulimwambia!

Mi hata rafiki zangu huwa nawaambia ukiniletea usnitch nakufutilia mbali!

We mi nikikosea niambie sio kukausha au kunisifia vya uwongo!

Coz mi ni real, ukizingua nakuchana live

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa rEal dunia ya sasa utapoteza wengi na itakuwa ngumu kufikia malengo yako
 
Back
Top Bottom