Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Nipo mkuu nina shida ya simu tu ndio maana sionekani sana hukuAre you there? it has been so long!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo mkuu nina shida ya simu tu ndio maana sionekani sana hukuAre you there? it has been so long!
Oooops!...lkn bora ulimwambia!Rafiki ni wachache kama wewe, Kuna rafiki yangu nilimkuta yuko na demu ambae ni Positive kitambo kirefu, asa demu ni mkali hasa utadhani kadownloadiwa.. Mwamba nikamstua asee kuwa mwana apo apafai.. Mchizi akanichukulia Snitch kuwa staki Apate Mtoto Mkali!
Ukiwa rEal dunia ya sasa utapoteza wengi na itakuwa ngumu kufikia malengo yakoOooops!...lkn bora ulimwambia!
Mi hata rafiki zangu huwa nawaambia ukiniletea usnitch nakufutilia mbali!
We mi nikikosea niambie sio kukausha au kunisifia vya uwongo!
Coz mi ni real, ukizingua nakuchana live
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa pole sana Mkuu itabidi upitishe mchango humu ununue simu Mpya