nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Aisee kwa ufupi sikuwai kuwaza nitakuja kuangukia kazi hii ambayo japo kua napata riziki lakini kwa namna fulani nafsi haina ile furaha ya kweli.
Najua wapo watu humu wanafanya shuguli za kujiijgizia kipato lakini haikua ndoto yao. Kwa mfano mimi napenda sana niwe na ofisi yangu binafsi, niwatume wafanyakazi nk. lakini saiv japokua nimesoma lakini nakomaa na ujenzi ambao sio ndoto yangu.
Hivi nini kinasababisha wanadam tuangukie katika kazi ambazo sio ndoto zetu.? Nini kifanyike watu turudi katika ndoto zetu?