Katika maisha ya utafutaji, kufanya shughuli ambayo sio ndoto yako ni mateso

Katika maisha ya utafutaji, kufanya shughuli ambayo sio ndoto yako ni mateso

Aisee kwa ufupi sikuwai kuwaza nitakuja kuangukia kazi hii ambayo japo kua napata riziki lakini kwa namna fulani nafsi haina ile furaha ya kweli.

Najua wapo watu humu wanafanya shuguli za kujiijgizia kipato lakini haikua ndoto yao. Kwa mfano mimi napenda sana niwe na ofisi yangu binafsi, niwatume wafanyakazi nk. lakini saiv japokua nimesoma lakini nakomaa na ujenzi ambao sio ndoto yangu.

Hivi nini kinasababisha wanadam tuangukie katika kazi ambazo sio ndoto zetu.? Nini kifanyike watu turudi katika ndoto zetu?
Mtafute P Didy ana majibu ya maswali yako yote.
 
Hicho Cha mtoto. Kubwa zaidi ufanye kazi usiyoipenda na sehemu/mkoa/Wilaya/usiyoipenda. Maumivu ni mara mbili
 
Hadi hapo umefeli mkuu pole sana ndo maisha, lakini nikuambie kuishi maisha ya ndoto zako ni raha sana
Labda kufeli Kuna maana nyingine

Unaijua ndoto ya mama Samia ilikua ni nini? Je nae kutotimiza ndoto ya kuwa air hostess, nae amefeli?
 
Nature select the reality, Police atampambania manae awe poti,mjeshi,doctor, lawyer,muhasibu,mwanasiasi wote hao chunguza.Reality ya wazazi wao inakua natural selection.
So either ubebe miiko ya kazi za deiwaka kama father au ufanye kilichopo mbele yako.
Elimu na choice weka pembeni hapo
 
Ata mie sikuoenda kuwa bodaboda sema ndio hivyo tena life nyokkoo.
Nilikuwa najiona kabisa nipo zangu sweden napokea nobel prize katika physics baada ya kuja na theory moja matata kuhusu uthinitisho usiokuwa na shaka kuhusu uwepo wa mungu
wengi miili yetu location tanzania ila ndoto na mawazo yapo far away
 
Back
Top Bottom