nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Nimetoa mfano tu mkuuNilizan we ni ticha ...km hy kaz hujaajiriwa jiongeze tu bro Anna kidg kidg kuna watu humu walitaka kuwa madereva wakaanza kununua tair na spea kidg kidg sa iv wana drive......
Ndukiiii
Noma Sana dah80% wengi tunafanya kazi ambazo hatuzipendi
Pole mkuu.Hiyo ni kweli kabisa aisee ila ni Maisha tu aisee mfano mi najutaga nilichokisomea Zaid ya miaka mitatu chuo afu nilikua sikupendi ata kidogo yaani ila mashinikizo tu kutoka Kwa wazazi sahivi nafanya kazi nyingine tofauti kabisa yaani najutaga yaani nilipoteza mda na pesa sana yaani
Ndo tunasema pesa inaweza badilisha maisha sekundeKuna muda ushauri hausaidii inahitajika pesa na muda wenyewe ndo huu kwahiyo fanya kazi tafuta pesa
Hasa huku africaUnapanga na maisha yanapanga.
Bado tunasafari ndefu sana katika utafutajiHiyo ni kweli kabisa aisee ila ni Maisha tu aisee mfano mi najutaga nilichokisomea Zaid ya miaka mitatu chuo afu nilikua sikupendi ata kidogo yaani ila mashinikizo tu kutoka Kwa wazazi sahivi nafanya kazi nyingine tofauti kabisa yaani najutaga yaani nilipoteza mda na pesa sana yaani
Usisahau la nature ya Geographical locationKila mtu huwa tunakuwa na ndoto ya kuwa bosi. Lakini baadae mambo hubadilika kutokana na mifumo ya elimu, malezi na sisi wenyewe.
Ukitambua tayari umeingia huko ni kuona namna gani unatoka ikiwa kazi hiyo haikuvutii.
Hadi hapo umefeli mkuu pole sana ndo maisha, lakini nikuambie kuishi maisha ya ndoto zako ni raha sanaUsiishi kwa ndoto ishi kwa uhalisia. Mfano Mimi ndoto yangu ilikua niwe footballer Kama Messi, kwa hiyo nilitakiwa hadi Leo niishi na hiyo ndoto?
Umaskini,umaskini, umaskini,umaskini ,umaskini ,nimeandika mara tano kwa sababu umaskini si wa pesa tu peke yake.Hivi nini kinasababisha wanadam tuangukie katika kazi ambazo sio ndoto zetu.?
Mkuu usisahau na mifumo ya siasa huku afrika mambo ya nepotism yanaharibu sana maisha yetu vijanaUmaskini,umaskini, umaskini,umaskini ,umaskini ,nimeandika mara tano kwa sababu umaskini si wa pesa tu peke yake.