Ye muache huyu St. Paka Mweusi anizulie! Nikiachwa na nitonye atanioa yeye !What! sweetlady maneno gani haya?
i am watching you,tena vere keafuli.Ye muache huyu St. Paka Mweusi anizulie! Nikiachwa na nitonye atanioa yeye !
Ha ha ha ha thanks bana wewe salamalakini??!!!
Swalama kabisa chipenzi.
Habari ya wewe???
Nina siku sijakuona . . . .kwa hivo nilikukumbuka sana!