HARUNI IDDI
Member
- May 31, 2024
- 8
- 3
Vitengo vya huduma kwa wateja katika mashirika, taasisi za umaa na kwenye serekali za mitaa vinapaswa kuboreshwa katika miaka mitano ijayo nakuendelea kwa sababu ndivyo vinabeba dhima ya utaoji wa huduma kwa wananchi Kwani kwenye baadhi ya taasisi za umaa Zimekuwa zikiacha kuweka mkazo kwenye hiki kitengo nyeti Cha huduma kwa wateja kama ilivyo kwenye taasisi za binafsi kama vile makampuni ya huduma za wasiliano Kwani kwenye baadhi ya taasisi za umaa huweka namba za huduma kwa wateja ambazo hazipo hai au hazitumiki hivyo kuwakwamisha watanzania katika kupata huduma kupitia kitengo hichi.
Njia zifuatazo zinaweza kuboresha kitengo Cha huduma kwa wateja katika sekta ya umaa;
Kuajiri watumishi wenye taaluma ya huduma kwa wateja: kwenye baadhi ya taasisi za umaa na serekali za mitaa zemekuwa zikiwapa nafasi watumishi wasio kuwa na uweledi wala ujuzi kwenye maswala ya huduma kwa wateja.
Kuongeza bajeti kwenye kitengo hichi kwa sababu ndipo wananchi wanaweza kupata huduma kwa wakati wowote wanapokuwa na shida kwenye ofisi za umma na kwenye serekali za mitaa ili watumishi wanaowekwa kufanya kazi kwenye kitengo hichi kufanya kazi kwa juhudi na ufanisi ilikuweza kufika malengo ya taasisi husika.
Kuboresha miundombinu ya huduma kwa wateja kama kuwepo kwa simu Bora za ofisini, na vifaa vingine kama kompuyta na miundombinu mengine ambayo inaweza kuwezesha watumishi wanafanya kazi kwenye kitengo hichi kufanya kazi kwa uweledi na kuweza kuwahudumia watanzania katika wakati ambao wanakuwa na shida kwenye ofisi za umma.
Kutoa mafunzo ya mara kwa Mara kwa watumishi ambao wanahudumia kwenye vitengo vya huduma kwa wateja ili kuendena na mahitaji ya jamii na kuweza kuhudumia watu pale wanapokuwa na uhitaji
Katika miaka ijayo kitengo cha huduma kwa wateja ni muhimu kwa Sababu siyo kila mtanzania ata weza kufika moja kwa moja kwenye ofisi za umma bali kupitia huduma ya huduma kwa wateja itasaidia kutatua shida na changamoto ndogo ndogo bila hata ya kufika kwenye ofisi za umaa.

Upvote
0