Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫
1737495164140.jpg

1. Pato la Taifa la Burkina Faso lilikua kutoka takriban $18.8 bilioni hadi $22.1 bilioni.

2. Amekataa mikopo kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na thKatika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫

2. Amekataa mikopo kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF)
3. Alipunguza mishahara ya mawaziri na wabunge kwa 30% na kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kwa 50%.

5. Alianzisha viwanda viwili vya kusindika nyanya, cha kwanza kabisa nchini Burkina Faso.

6. Mnamo 2023, alizindua mgodi wa kisasa wa dhahabu ili kuimarisha uwezo wa uchakataji wa ndani.

7. Alisimamisha usafirishaji wa dhahabu ya Burkina Faso ambayo haijasafishwa hadi Ulaya.

8. Alijenga kiwanda cha pili cha kusindika pamba cha Burkina Faso. Hapo awali, nchi ilikuwa na moja tu.

9. Alifungua Taifa la kwanza kabisaAlifungua Kituo cha Kitaifa cha Usaidizi cha kwanza kabisa cha Usindikaji wa Pamba wa Kisanaa ili kuwasaidia wakulima wa ndani wa pamba.

10. Alipiga marufuku uvaaji wa wigi za kisheria za Uingereza na gauni katika mahakama za mitaa na utangulizi

11. Alitanguliza kilimo kwa kusambaza zaidi ya matrekta 400, tila 239, pampu 710 na pikipiki 714 ili kuongeza uzalishaji na kusaidia wadau wa vijijini.

12. Alitoa upatikanaji wa mbegu bora na pembejeo nyingine za kilimo ili kuongeza pato la kilimo.

13. Uzalishaji wa nyanya nchini Burkina Faso uliongezeka kutoka tani 315,000 mwaka 2022 hadi 360,000 hadi

14. Uzalishaji wa mtama ulipanda kutoka tani 907,000 mwaka wa 2022 hadi tani milioni 1.1 mwaka wa 2024.

15. Uzalishaji wa mchele uliongezeka kutoka tani 280,000 mwaka wa 2022 hadi tani 326,000 mwaka wa 2024.

16. Alipiga marufuku operesheni za kijeshi za Ufaransa nchini Burkina Faso.

17. Alipiga marufuku vyombo vya habari vya Ufaransa nchini Burkina Faso.

18. Aliwafukuza wanajeshi wa Ufaransa kutoka Burkina Faso.
 
Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫
View attachment 3209401

Endapo kama ni kweli basi hongera kwake kwa kiasi fulani Kama 50% hivi. Isipokuwa aongeze juhudi zaidi.

Lakini jambo la muhimu zaidi kwake ahakikishe kwamba anatengeneza Taifa lenye Demokrasia na Utawala Bora wa Sheria kwa Watu wote katika nchi hiyo. Kwa sababu Taifa lolote lile lililo Bora hapa duniani ni lazima liwe na sifa muhimu zifuatazo:-
1. Utawala wa Kidemokrasia unaozingatia Sheria, HAKI na Usawa.
2. Utawala unaowajibika kwa Wananchi waliopo kwenye nchi husika.
3. Uchumi Imara unaotokana na Ushindani wa Nguvu ya Soko
 
Kwetu danganyika sio kwamba haiwezekani, ila viongozi ni walafi, wabinafsi, wasioridhika, hawamjali mtanzania wala tanzania yenyewe, wao ni kujiangalia wao tu, kibaya zaidi hawajui kabisa kula na vipofu, Ila haya mambo hata mimi nikipata nafasi yanafanyika bila tabu, tena ni zaifi ya hapo.
 
"Let us agreed that Black people cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Kwa hali ilivyo huo ni ukweli mchungu kwa kweli, mpaka sasa waafrica hatuja" PROVE WRONG" kauli ya bwanyenye botha
 
Waafrika wengi wanapenda sana kutawaliwa na wanajeshi wao.

Kwa sababu wanapenda kupelekwa kwa mijeledi kama punda.
 
Sio kwel watu wanataka uhuru watu wanataka Aman na asio amani unayo ijua wewe Aman ata kisiasa,sasa unategemea nn kutumia siasa za kigen n kushindwa kuchangia hoja za msingi na kukosoa Kwa mwanachi na hata wiz unaanzia apo Kwa walio kwenye vitengo usika
 
Wewe hujui hata tofauti ya hata na ata.

Sina imani kwamba unaweza kufanya mazungumzo ya maana ya kimantiki.
 
Unaleta maelezo badala ya majibu mkuu,watu hatutaki unafki mtu anapo fanya vizuri ana stahili kumpa maua yake angali Yu hai
Unafiki ni kusema unataka uhuru kwa kusujudia utawala wa kijeshi.

Hapo inaonekana una unafiki, ama huelewi uhuru ni nini au huelewi utawala wa kijeshi ni nini.

Inawezekana pia ukawa ni mnafiki usiyeelewa uhuru wala utawala wa kijeshi.

Na sitegemei uelewe ninachoandika.

Kwa sababu huelewi hata tofauti ya hata na ata.
 
Ili uhuru upatikane na unafki uishe kama raisi anae tawala au haelewek lazima jeshi lichukue nchi adi pale litakapo pata mshika kiti mzuri watakae mwamini,sasa kijana kashika nchi ndan ya miaka miwili aku haribu badala yake inchi yake ikiwa chini ya mikono yake imepiga hatua Kwa 50 % kwann tusimpe maua yake ?
 
This logical fallacy is called a false dichotony.

But I suspect you not only do not know what that is, I suspect you don't know what a logical fallacy is.
 
Back
Top Bottom