Unazungumzia ofisi za kukata tiketi au huduma za stendi?Inaweza, masoko ni biashara ya fremu tu. Kampuni tatu za mabasi wanaweza kujicha ga kutengeneza stendi yao. Hizo Ofisi zao pia binafsi ni Bora kuliko stendi nyingi za serikali.
Hapa tumbiri alikuwa nusu mtu alizungumza point ila sijui kama walimuelewaSerikali sasa iachane na ujenzi wa stendi za magari na masoko. Haya ni mambo yanayoweza kufanywa na watu binafsi na pia hakuna maana tena ya kujenga majengo makubwa ya kukufanya watu pamoja kama stendi na masoko.
Serikali sasa ijikite katika kujenga miondombinu ya reli na viwanja vya ndege ambapo kampuni binafsi ni vigumu kuwekeza. Mambo rahisi iwaachie watu binafsi.
Ni pamoja na mifumo ya usalama (mizani ya mabasi, ukaguzi wa Polisi/Sumatra), maegesho ya dharura ya malori, na miundombinu ya zimamoto. Kampuni binafsi itagharimia vipi askari na usalama wa abiria elfu tano kwa siku?Huduma za stendi ni zipi ?
Hakuna mizani ya mabasi kwenye stendi yoyote ya serikali,Ni pamoja na mifumo ya usalama (mizani ya mabasi, ukaguzi wa Polisi/Sumatra), maegesho ya dharura ya malori, na miundombinu ya zimamoto. Kampuni binafsi itagharimia vipi askari na usalama wa abiria elfu tano kwa siku?
Usalama gani wa abiria unaohitaji askari kuwepo muda wote? Chukulia stendi ya serikali kama shule au hospital za serikali na stendi/Ofisi binafsi za mabasi kama shule na hospital binafsi. Zote usalama ni ule ule tu.Kampuni binafsi itagharimia vipi askari na usalama wa abiria elfu tano kwa siku?
Utakuwa unaishi nchi ya kufikirika wewe, ushauri wako ukifuatwa, tutarajie ajali kila siku.Hakuna mizani ya mabasi kwenye stendi yoyote ya serikali,
Ukaguzi wa polisi, SUMATRA na makororo mengine yote unaweza kufanyika kama vile malori na gari nyingine zisizo mabasi ya abiria unavyofanyika nje ya stendi kokote barabarani,
Unafananisha shule na stendi? Hii ni akili au matope?Usalama gani wa abiria unaohitaji askari kuwepo muda wote? Chukulia stendi ya serikali kama shule au hospital za serikali na stendi/Ofisi binafsi za mabasi kama shule na hospital binafsi. Zote usalama ni ule ule tu.
Ushawahi kuona wezi, matapeli na makundi ya wavuta bangi yakikimbizana wodini?Nafananisha na hospitali