Katika mkoa wangu nilipo sioni tena barabara mpya zikiwekwa lami

Katika mkoa wangu nilipo sioni tena barabara mpya zikiwekwa lami

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Nilimchukia magu pia nilimpenda kwa mazuri yake pia, kwa sasa mkoa nilipo zaidi naona wakirekebisha zile mbovu tu Ila mpya zinazoanza kujengwa Hanna lakini kipindi cha nyuma ukikatiza kilometer kadhaa unakutana na camp ya wakandarasi.
 
Si useme upo geita
 
Wabongo huu ujinga tutaacha lini? Magu alikuwa kiongozi hivyo kiongozi huwa ni kawaida kuna mambo katika uongozi wake utakubaliana nayo na yapo ambayo hutokubaliana nayo, ukilielewa hilo basi hakutokuwa na haja ya kutanguliza kusema kuwa ulikuwa unamchukia au kumpenda.

Tujifunze kukosoa panapohitajika kukosoa na kupongeza panapostahili, ila ukitanguliza chuki au uchawa ndipo unapojinyima uhuru wa kukosoa au kupongeza.
 
Mtu aje na list inayoelezea jumla ya urefu wa barabara za lami zilizojengwa nchini KWA kila awamu.

Data hizi zitasaidia kujua kila awamu lami kiasi gani kimejengwa
 
Back
Top Bottom