sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Muhanga sio kwa hadithi hiyo😅😅😅bila kusahau kutumia sabuni ya kipande,maana ya unga halafu nguo ukaianikia ndani ikikauka inatoa harufu kama dagaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]huwezi ivaa,na hakuna perfume inawezakata hiyo uvundo.