Katika mzunguko wa vyakula kweli hakuna mchele wa plastiki?

Katika mzunguko wa vyakula kweli hakuna mchele wa plastiki?

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Habari,

Nimezunguka masokoni huko kuangalia mchele, yaani mchele mwingi umenyooka yaaani punje zote za mchele zimenyoka bila kasoro, sasa nimekuja ulizia hapa hivi hakuna mchele wa plastic?

Na ni namna ipi nzuri kutumia kugundua mchele wa plastic?
 
MCHELE WA PLASTIC🤣🤣🤣🤣
MBONA TUNAKULA VITU VYA AJABU SANA? SERIKALI IKO WAPI LAKINI🤒
 
Watanzania embu kujeni huki tudiscuss haya ya misosi hasa mcjele, kuna traces sources nyingi yoka nje ya nchi ziki portray kutengeneza mchele wa plastic yaaani mchele fake ili kupata faida tuu sasa wajuvi.

Zaidi yangu na mimi kujeni huku pleasee.
 
Habari,

Nimezunguka masokoni huko kuangalia mchele, yaaani mchele mwingi umenyooooka yaaani punje zote za mchele zimenyooooka bila kasoro, saaa nimekuja ulizia hapa hivi hakuna mchele wa plastic?

Na ni namna ipi nzuri kutumia kugundua mchele wa plastic?
saaa = sasa.
 
Unakuta kuna mtu alitoa fedha kulipa ada na kununua madaftari
 
Ukiona mchele haina pumba, mchanga kimbia mbali
Pana mashine za kuchambua hizo Pumba na mchanga nenda Mbeya Sido hapo au ile mashine iliyo Iyunga,Mbeya nadhani itakua chini ya Muhindi mchele wa pale hautoi taka taka yeyote wewe ni kazi yako ni kupika tuu...
 
Tastic Rice upo Nchi za kusini huko nilishangaa kuuona Supermarket za Malawi wakati nao wapo karibu na wakulima wakubwa wa Mchele nyanda za juu kusini...
 
Back
Top Bottom