Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Mbona mnazunguka na ujuaji mwingi Elezeeni mchele wa plastic ukoje na unazalishwa vipi !? Sio ujuaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna mchele wa GMOHabari,
Nimezunguka masokoni huko kuangalia mchele, yaaani mchele mwingi umenyooooka yaaani punje zote za mchele zimenyooooka bila kasoro, saaa nimekuja ulizia hapa hivi hakuna mchele wa plastic?
Na ni namna ipi nzuri kutumia kugundua mchele wa plastic?
Wametoa aisee,Umetoka kifungoni mkuu?
Mama J. hajambo?
Karibu tena aisee
Sijawahi ona nasikia tu kwakweliWewe ulishaona plastic inaiva na kuliwa?
Tumemisi uzi mkuu kuhusu mama JWametoa aisee,
Jamaa waonevu Sana Hawa[emoji26]
Mama j tumezinguana sahv,
kauvuta mdomo toka kinyerezi mpk kwa msuguli[emoji38]
Mkuu ilikuaje ukapigwa ban?Mchele wa plastic ukiuweka karibu na Moto, unashika Moto haraka Sana na kuungua
Na process ya Kwanza
Ni kuyeyuka kabla ya kuungua kua masizi.
Tofaut na mchele wa kawaida
Ukiuweka karibu na Moto haushiki moto haraka,
Pia process ya Kwanza
Ni kuungua na kua masizi na sio kuyeyuka Wala kupinda punje zake
jamaa waonevu sn, Ntakufafanulia pmMkuu ilikuaje ukapigwa ban?
Mkuu inaonekana mama j anakupikiaga sana huo maan unaujulia sanaMchele wa plastic
huwez kuukaanga na mAfuta ya Moto ukachambuka punje punje ,utakua unashikamana mabonge mabonge
Tofauti na mchele wa kawaida
Ukiukaanga na mAfuta ya Moto ukachambuka punje punje na haishikamani
Wapishi wengi wa mchele wa plastic huuzamisha kwny maji na kunyunyizia mAfuta ya baridi juu na kukoroga mchanganyiko[emoji4]
Ee bhana, mwambieMbeya mchele hauna pumba wala mchanga kitu super OG labda utoe sababu nyingine
Ilikuwa kidgo tu niwaite wala Biriani kila Friday.Mchele wa plastic, pilau lake lina ladha nzur sn likipikwa kwa sukari kuliko chumvi.
NB: Wapenzi wa biriani wanalishwa sana mchele wa plastic uko mitaani
Ukitaka hata unavotengenezwa nakufundisha, na mashine za kuufyatua zipo nyingi Sana unaagiza unapiga pesa[emoji4]Ni propaganda tu hizo tokea izushwege kipindi kilee aijawahi tokea tena ingeshajulikana tu sahivi ni porojo porojo tu akuna kitu kama hicho