Mbeya mchele hauna pumba wala mchanga kitu super OG labda utoe sababu nyingineUkiona mchele haina pumba, mchanga kimbia mbali
saaa = sasa.Habari,
Nimezunguka masokoni huko kuangalia mchele, yaaani mchele mwingi umenyooooka yaaani punje zote za mchele zimenyooooka bila kasoro, saaa nimekuja ulizia hapa hivi hakuna mchele wa plastic?
Na ni namna ipi nzuri kutumia kugundua mchele wa plastic?
Hivi kitu cha plastic kinalika au ndio porojo plastic kama plastic hii ninayoijua Mimi?
Umetoka kifungoni mkuu?ukishapikwa wali wake,
Tonge lake ukilifinyanga ukalidunda chini punje haziachani.
(linadunda chini na kurudi Kama kutenesi)
Pana mashine za kuchambua hizo Pumba na mchanga nenda Mbeya Sido hapo au ile mashine iliyo Iyunga,Mbeya nadhani itakua chini ya Muhindi mchele wa pale hautoi taka taka yeyote wewe ni kazi yako ni kupika tuu...Ukiona mchele haina pumba, mchanga kimbia mbali