Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Huyu mzee alipandikiziwa chuki na chama hiki hiki kipo madarakani ila Mungu aliweza kumfikisha mpaka leo.
Hata leo ukija na dini ya shetani, CCM inaweza kutafuta ajenda wanapojua wao kuzima Harakati za mabadiliko.
Ila kwa sasa mwisho umefika kwa CCM mshatumia udini,ukabila naona sasa mshakuja michezo ndio karata zenu za mwisho.