Katika Nchi zote zilizofuzu AFCON hakuna hata moja iliyosambaza mabango ya Rais wake Uwanjani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hili kuna haja ya Wapenda soka wa Tanzania walielewe.

Bali haifahamiki pia kwanini Nchi hizo hazibandiki Mabango ya Rais wao Uwanjani, Japo Sheria za FIFA hazikatazi.

Je hawa ambao hawabandiki Mapicha ya Marais Wao Viwanjani ni Wajinga au Wana roho Mbaya?
 
We have to learn about Opportunity seekers, (inatakiwa tujifunze kuhusu watafuta fursa), kutafuta fursa ni muhimu kwavile fursa huwa hazitufuati
 
Hili kuna haja ya Wapenda soka wa Tanzania walielewe.

Bali haifahamiki pia kwanini Nchi hizo hazibandiki Mabango ya Rais wao Uwanjani, Japo Sheria za FIFA hazikatazi.

Je hawa ambao hawabandiki Mapicha ya Marais Wao Viwanjani ni Wajinga au Wana roho Mbaya?
Nitashabikia nchi za kigeni. Taifa Stars namwachia kocha mkuu Samia Suluhu
 
Thubutu! Tukifungwa tunalaumiana wenyewe. Tukishinda ni mapambio ya machwa kila office za chama kumsifia Samia.
basi bora tufungwe tu maana akili hazipo, mbona Raisi Kikwete alimletea mpaka kocha kutoka Brazil haya mapambio hayakuwepo
 
Hili kuna haja ya Wapenda soka wa Tanzania walielewe.

Bali haifahamiki pia kwanini Nchi hizo hazibandiki Mabango ya Rais wao Uwanjani, Japo Sheria za FIFA hazikatazi.

Je hawa ambao hawabandiki Mapicha ya Marais Wao Viwanjani ni Wajinga au Wana roho Mbaya?
Hao ni Wajinga halafu mama zao hawaupigi mwingi kama sisi
 
Hili kuna haja ya Wapenda soka wa Tanzania walielewe.

Bali haifahamiki pia kwanini Nchi hizo hazibandiki Mabango ya Rais wao Uwanjani, Japo Sheria za FIFA hazikatazi.

Je hawa ambao hawabandiki Mapicha ya Marais Wao Viwanjani ni Wajinga au Wana roho Mbaya?
Wahi foleni ukaingie bure wacha porojo zako!
 
Back
Top Bottom