Katika Nchi zote zilizofuzu AFCON hakuna hata moja iliyosambaza mabango ya Rais wake Uwanjani

Hakuna kosa kubwa na la kujutia milele kama tutairudisha ccm madarakani next year
 
Fanya mambo ya maana acha kuoketeza vt vdg km hvyo. Kila nchi ina utamaduni wake
 
Wana roho mbaya saaana picha za kiongozi zinatakiwa kuwepo.
 
Ndiyo maana naomba leo Kizimkazi Stars ifungwe mengi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…