Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Ahahaha Wewe jamaaDoctors are 'Debitors', madokta wengi wanaishi kwa madeni!
Simple!
Ninadhani "Debtors" ni sahihi zaidi kama sijakosea'Debitors'
Ninadhani "Debtors" ni sahihi zaidi kama sijakosea
'taifa hili limehalibiwa sana na ccm'.mkuu we ukiwa mzee utakuwa na hifadhi kubwa sana ya maarifa
ask, you will be given
taifa hili limehalibiwa sana na ccm,vijana, wazee, wachungaji, makonda ,maticha ,wanajeshi, nk. wanashindwa kuuliza/kuhoji maswali juu ya nchi,
ila wewe huna tabia hiyo huwa unauliza mara kwa mara, HONGERA kwa hili
Kama ni kada basi simjibu, maana nilikiwa kidogo tu ni mjibu, aende Lumumba akaulize'taifa hili limehalibiwa sana na ccm'.
Chalii mwenyewe ni kada huyu mkuu.
Kimsingi ufupisho (Cr) umetokana na jina Creditor kumbuka Credit siyo jina. Na ufupisho (Dr) umetokana na jina Debtor kumbuka Debit siyo jina pia.Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Katika neno Credit (Cr) inaleta mantiki, sasa herufi "r" inatokea wapi katika neno Debit (Dr)?
Wataalam wa Accountancy Levels zote tunaomba ufafanuzi tafadhali kwa maana tumechoka kukaririshwa sasa tunatafuta "logics".
View attachment 1626955
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Ni hivi CR stands for CREDIT RECODS na DR stands for DEBIT RECORDS.. Haziko hivyo kama unavyodhania wewe kijana.
CPA (T), ACCA na CIMA
Which is whichKimsingi ufupisho (Cr) umetokana na jina Creditor kumbuka Credit siyo jina. Na ufupisho (Dr) umetokana na jina Debtor kumbuka Debit siyo jina pia.
Ahsante!
Yote ni sawa mkuu,Which is which
Mbona Kama majibu yote nimeyakubali
Mimi ni mzalendo ninaipenda sana Tanzania. Ninaomba unijibu mkuu.Kama ni kada basi simjibu, maana nilikiwa kidogo tu ni mjibu, aende Lumumba akaulize