Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #41
OkayKama unakithamini na kujivunia kiswahili ungeandika kiswahili peke yake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkayKama unakithamini na kujivunia kiswahili ungeandika kiswahili peke yake!
Huyu mshkaji ujue kama simwelewagi ivi, anyway vipi ile rambirambi uliyopoteza ulishalipa?
duh! job true trueNi hivi CR stands for CREDIT RECODS na DR stands for DEBIT RECORDS
Mkuu, ina maana unapingana naye?duh! job true true
Mkuu, bado sijapata muongozo kwa maana humu kuna watu wametoa majibu zaidi ya manne tofauti tofauti
Bado sijayapata vema mkuuMaarifa yamepatikana mkuu!
Okay...Debtor limetokana na neno la kilarin debere liko maanisha kudaiwa ie to owe.
AiseeHii kitu nlikuwa naumiza kichwaaaaaa
Ila tu nkajisemeaga Dr ni doctors sasa swali kaingiaje kwenye pesa?. yaani Niko bank afu naona neno Dr akili ikawaza sindano ghafla.
Ni hivi CR stands for CREDIT RECORDS na DR stands for DEBIT RECORDS.. Haziko hivyo kama unavyodhania wewe kijana.
CPA (T), ACCA na CIMA.
Nilifikiri uzi ungeishia hapaHistoria ya uhasibu inaonyesha kwamba Dr na Cr zilikuwa zilitumia na wafanyabiashara katika kutunza mahesabu yao. Debits zilikuwa kwa ajili ya kurekodi debtors(wadai). Debts were debtors and abreviated as Dr. kwa hiyo Dr oringinally ni Debtors. Ni hivyo pia kwa Cr sio kwamba r inawakilisha r ya Credit,Big No. It is abbrevated from Creditor-Cr. Hayo ni mambo ya karne ya 18 huko
Tufunge uzi jamaniThe terms debit (DR) and credit (CR) have Latin roots: debit comes from the word debitum, meaning "what is due," and credit comes from creditum, meaning "something entrusted to another or a loan."
When it comes to the DR and CR abbreviations for debit and credit, a few theories exist. One theory asserts that the DR and CR come from the Latin past participles of debitum and creditum, which are debere and credere, respectively.
Another theory is that DR stands for "debit record" and CR stands for "credit record."
Finally, some believe the DR notation is short for "debtor" and CR is short for "creditor"
Hopefully this will answer your question!
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Katika neno Credit (Cr) inaleta mantiki, sasa herufi "r" inatokea wapi katika neno Debit (Dr)?
Wataalam wa Accountancy Levels zote tunaomba ufafanuzi tafadhali kwa maana tumechoka kukaririshwa sasa tunatafuta "logics".
View attachment 1626955
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Sawa mkuu, ila kumbuka hili jibu lako ni la 6 katika mjadala huuDr ni sawa na Dis-credit synonym yake ndiyo Debit. Hapo kwenye Dis- credit si unaona hiyo D na r.
Pole mama watoto wanguHapa kichwa kinauma, naona maruwe ruwe
Kwanini mkuu?Tufunge uzi jamani
No. Debtors ni wadaiwa tuliowauzia vitu kwa mkopoHistoria ya uhasibu inaonyesha kwamba Dr na Cr zilikuwa zilitumia na wafanyabiashara katika kutunza mahesabu yao. Debits zilikuwa kwa ajili ya kurekodi debtors(wadai). Debts were debtors and abreviated as Dr. kwa hiyo Dr oringinally ni Debtors. Ni hivyo pia kwa Cr sio kwamba r inawakilisha r ya Credit,Big No. It is abbrevated from Creditor-Cr. Hayo ni mambo ya karne ya 18 huko
There are a lot of therories as towhy 'CR' and 'DR' is used for Credit and Debit ,Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Katika neno Credit (Cr) inaleta mantiki, sasa herufi "r" inatokea wapi katika neno Debit (Dr)?
Wataalam wa Accountancy Levels zote tunaomba ufafanuzi tafadhali kwa maana tumechoka kukaririshwa sasa tunatafuta "logics".
View attachment 1626955
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.