Katika neno Credit (Cr) inaleta mantiki, sasa herufi "r" inatokea wapi katika neno Debit (Dr)? Wataalam wa Accountancy levels zote tunaomba ufafanuzi

Hii kitu nlikuwa naumiza kichwaaaaaa


Ila tu nkajisemeaga Dr ni doctors sasa swali kaingiaje kwenye pesa?. yaani Niko bank afu naona neno Dr akili ikawaza sindano ghafla.
Aisee
 
Nilifikiri uzi ungeishia hapa
 
Tufunge uzi jamani
 


Dr ni sawa na Dis-credit synonym yake ndiyo Debit. Hapo kwenye Dis- credit si unaona hiyo D na r.
 
No. Debtors ni wadaiwa tuliowauzia vitu kwa mkopo
Example; Asha sells furnitures on credit to Amina.
Hapo Asha katika vitabu vyake Amina atakuwa Debtor wake kwa sababu bado anamdai pesa aliyomuuzia furniture kwa mkopo
Na Amina kwenye vitabu vyake atamuandika Asha Kama creditor wake, yani mdai wake aliyenunua vitu kwake kwa mkopo.

Kwa undani zaidi ukifungua Journal entry ndio utaona vizuri
 
There are a lot of therories as towhy 'CR' and 'DR' is used for Credit and Debit ,

One theory states that the DR and CR come from the Latin past participles of debitum and creditum which are "debere" and "credere", respectively. Another theory is that DR stands for "debit record" and CR stands for "credit record".Some even believe the DR notation is short for "debtor" and CR is short for "creditor".

Luca Pacioli, the father of bookkeeping, used the words debere (to owe) and credere (to entrust).

That was the first time the use of these words was recorded. When his work was translated, the latin words debere and credere became the English Debit and Credit.

Thus, the abbreviations Dr (debit) and Cr (credit) are most likely derived from the original Latin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…