Katika numerology, jina la JESUS lina idadi sawa na namba '666'

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,158
Reaction score
7,787
Habari za wakati huu wataalam..

Hii ndiyo hesabu kamili ya jina la "JESUS" na jawabu lake ambalo huwa '666' katika numerology.

Kumbuka 666 ina idadi au thamani ya namba 9 ambapo 6+6+6 = 18, 1+8= 9

Hivyo tunatumia namba 9 kuzidisha kwa kila namba za herufi ya jina husika.

List ya A-Z ipo kwa lengo la kupata namba ambazo hutambulisha herufi za jina husika katika kukokotoa.

Screenshot_20240804-164035.png

Hayo ni maajabu ya namba 9 katika numerology, lakni sidhani kama jawabu hili limekuja kwa bahati mbaya, nadhani ipo sababu.

Kwa wataalamu wa numerology,
hii ni Coincidence au ilipangwa iwe hivyo na waliotunga hilo jina?
 
View attachment 3061449

Umekosea
 
hilo ni jina lililotafsiriwa tu, ni sawa na jinsi lilivyotafsiriwa kwa kiswahili kuwa ni Yesu. ila yeye aliitwa "YE-SHUA". hebu piga mahesabu na hiyo.
 
Assume unatumia standard English numerology system ambapo A=1, B=2, C=3, and so on, hii hapa ndo hesabu yake:

J = 10
E = 5
S = 19
U = 21
S = 19
Total: 10 + 5 + 19 + 21 + 19 =
Tuipunguze kwenda single digit:

7 + 4 = 11
1 + 1 = 2
Jibu = 2

Acha kupotosha
 
Umesahau kuzidisha kwa namba 9
 
Habari za wakati huu wataalam..

Hii ndiyo hesabu kamili ya jina la "JESUS" na jawabu lake ambalo huwa '666' katika numerology.

Kumbuka 666 ina idadi au thamani ya namba 9 ambapo 6+6+6 = 18, 1+8= 9

Hivyo tunatumia namba 9 kuzidisha kwa kila namba za herufi ya jina husika.

List ya A-Z ipo kwa lengo la kupata namba ambazo hutambulisha herufi za jina husika katika kukokotoa.

View attachment 3061449

Hayo ni maajabu ya namba 9 katika numerology, lakni sidhani kama jawabu hili limekuja kwa bahati mbaya, nadhani ipo sababu.

Kwa wataalamu wa numerology,
hii ni Coincidence au ilipangwa iwe hivyo na waliotunga hilo jina?
Hiyo 9 hapo chini umeitolea wapi
 
Back
Top Bottom