Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
UmekoseaHabari za wakati huu wataalam..
Hii ndiyo hesabu kamili ya jina la "JESUS" na jawabu lake ambalo huwa '666' katika numerology.
Kumbuka 666 ina idadi au thamani ya namba 9 ambapo 6+6+6 = 18, 1+8= 9
Hivyo tunatumia namba 9 kuzidisha kwa kila namba za herufi ya jina husika.
List ya A-Z ipo kwa lengo la kupata namba ambazo hutambulisha herufi za jina husika katika kukokotoa.
View attachment 3061449
Hayo ni maajabu ya namba 9 katika numerology, lakni sidhani kama jawabu hili limekuja kwa bahati mbaya, nadhani ipo sababu.
Kwa wataalamu wa numerology,
hii ni Coincidence au ilipangwa iwe hivyo na waliotunga hilo jina?
Nimekosea nini? Hembu nieleze wewe ungefanya nini hapo ili iwe sahihiUmekosea
Yaweza ikawa kweli nimekosea, basi niambie ni wapi nimekoseaKajipange upya, hapo umepuyanga
Hakika Umasikini ni mbayaumaskini ni mbaya sanaa
Wapi nimesema watu wajinyongeKwa hiyo tujinyonge miguu hadi kufa?
🍿🍿🍿🍿🚮🚮🚮🚮
Nani anabet?Hayaa ndo madhara ya kubet.
hilo ni jina lililotafsiriwa tu, ni sawa na jinsi lilivyotafsiriwa kwa kiswahili kuwa ni Yesu. ila yeye aliitwa "YE-SHUA". hebu piga mahesabu na hiyo.Habari za wakati huu wataalam..
Hii ndiyo hesabu kamili ya jina la "JESUS" na jawabu lake ambalo huwa '666' katika numerology.
Kumbuka 666 ina idadi au thamani ya namba 9 ambapo 6+6+6 = 18, 1+8= 9
Hivyo tunatumia namba 9 kuzidisha kwa kila namba za herufi ya jina husika.
List ya A-Z ipo kwa lengo la kupata namba ambazo hutambulisha herufi za jina husika katika kukokotoa.
View attachment 3061449
Hayo ni maajabu ya namba 9 katika numerology, lakni sidhani kama jawabu hili limekuja kwa bahati mbaya, nadhani ipo sababu.
Kwa wataalamu wa numerology,
hii ni Coincidence au ilipangwa iwe hivyo na waliotunga hilo jina?
Nimekuelewa Mkuu, nadhani hilo jina la kizungu ndyo lina mashaka, nitajaribu kufanya kwa kutumia YE-SHUAhilo ni jina lililotafsiriwa tu, ni sawa na jinsi lilivyotafsiriwa kwa kiswahili kuwa ni Yesu. ila yeye aliitwa "YE-SHUA". hebu piga mahesabu na hiyo.
Umesahau kuzidisha kwa namba 9Assume unatumia standard English numerology system ambapo A=1, B=2, C=3, and so on, hii hapa ndo hesabu yake:
J = 10
E = 5
S = 19
U = 21
S = 19
Total: 10 + 5 + 19 + 21 + 19 =
Tuipunguze kwenda single digit:
7 + 4 = 11
1 + 1 = 2
Jibu = 2
Acha kupotosha
Hiyo 9 hapo chini umeitolea wapiHabari za wakati huu wataalam..
Hii ndiyo hesabu kamili ya jina la "JESUS" na jawabu lake ambalo huwa '666' katika numerology.
Kumbuka 666 ina idadi au thamani ya namba 9 ambapo 6+6+6 = 18, 1+8= 9
Hivyo tunatumia namba 9 kuzidisha kwa kila namba za herufi ya jina husika.
List ya A-Z ipo kwa lengo la kupata namba ambazo hutambulisha herufi za jina husika katika kukokotoa.
View attachment 3061449
Hayo ni maajabu ya namba 9 katika numerology, lakni sidhani kama jawabu hili limekuja kwa bahati mbaya, nadhani ipo sababu.
Kwa wataalamu wa numerology,
hii ni Coincidence au ilipangwa iwe hivyo na waliotunga hilo jina?
Angalia mwazo kabisa wa calculation utaona nimeitolea wapiHiyo 9 hapo chini umeitolea wapi
huna lolote unalolijua. utamchafua Yesu hadi uchoke, atabaki Yesu vilevile.Nimekuelewa Mkuu, nadhani hilo jina la kizungu ndyo lina mashaka, nitajaribu kufanya kwa kutumia YE-SHUA