Katika numerology, jina la JESUS lina idadi sawa na namba '666'

YESU NI MUNGU WETU SOTE AMEUMBA KILA KITU YOHANA.1:1 YOHANA 1:2-3 NA HIZO NAMBA KAZITENGENEZA YEYE
 
Jesus ni kizungu ,anaitwa Yoshua
Nafahamu hilo mkuu, mimi nimefanya kwa jina la JESUS na nimefanya hivyo ili nioneshe kwamba jina hili lina utata.

Ni vyema kutumia jina halisi la Yoshua katika shughuli za kuabudu na kiimani
 

Kwa nini umechagua jina la Yesu la Kingereza? Au Kingereza ni lugha ya mbinguni kama Kiarab? Navyoona bado haujamaliza homework yako. Kafanyie kazi na haya majina ya Yesu kwenye lugha nyingine:

1. Hebrew Jesus ni Yeshua (יֵשׁוּעַ)
2. Kiswahili Jesus ni Yesu
3. Kiarab (Islam) Jesus ni Isa (عيسى)
4. Kiarab (Christian) Jesus ni Yasu (يسوع)
5. Amharic Jesus ni Iyesus (እየሱስ።)
6. Aramaic/Syriac Jesus ni Ishi (ܝܫܘܥl)

Sasa hebu tupe numerology kwa hayo majina mengine.
 
Nimetumia jina hilo ili kuonyesha kwamba lina utata mkubwa, ni vyema waumini kutumia majina halisi
 
Ungaunga kutafuta uchokozi, na Yesu je?
 
Nimetumia jina hilo ili kuonyesha kwamba lina utata mkubwa, ni vyema waumini kutumia majina halisi
Yaani weww ndiyo unawambia kuwa lina utata? Kama hawatumii kingereza? Labda ukamwambie mfalme Charles III.
 
JINA YESU/ JESUS/ YESHUA ni Jina la Mungu mwenyewe .

JINA hili lilifichwa Enzi na Enzi Hadi hapo Malaika Gabriel alipolifunua Kwa Mariam.

JINA Hilo ni Jina lenye mamlaka ya juu kuliko mamlaka zote Mbinguni na duniani.

Katika Ulimwengu wa Roho, wanajua mamlaka ya Jina "YESU" na "Damu ya YESU ".

Hata usingizini ukikabwa kumbuka kuita tu Yesssuuuu!! Utaona na kupata msaada wa haraka.

ANGALIZO: kuzimu inae Yesu bandia, ndiye huyo wanayemuweka katika picha mwenye kuonyesha vidole viwili na alama za masonry, huyo ni mpinga krisho, mesih Jadal.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen.
 
Jesus ni kizungu ,anaitwa Yoshua
Mwite vyovyote, anabaki kuwa Mungu.

Kama huamini, nenda Kwa mganga mwambie kuwa unataka kuiba nyota ya JINA "YESU" uitumie ikupe utajiri uone atakavyokutoa baruti!!
 
Reactions: 511
Hii fomula umetumia ipo verified au umebuni mkuu
 
Hata vitabu kwenye biblia vilipunguzwa mpaka 66 .

Ule mchezo wa kubeti [TITAN ROULETE].. Ukijumlisha kuanzia namba 1,2,3-36 unapata 666 .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…