Katika picha kanaonekana kazuri kenyewe ila ngoja kafungue mdomo

Katika picha kanaonekana kazuri kenyewe ila ngoja kafungue mdomo

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Haka kazee ketu , kanaonekana kapole , kastaarabu , Tena kazuri kenyewe kamenona na hakana shida na mtu.

Ila sasa ngoja kafungue mdomo wake kaanze kumwaga sera zake ,ndipo utajua ubaya wa njaa ikihamia kichwani
 

Attachments

  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    23.9 KB · Views: 8
  • Screenshot_2026-08-27-08-10-45-65_1c337646f29875672b5a61192b9010f9.jpg
    Screenshot_2026-08-27-08-10-45-65_1c337646f29875672b5a61192b9010f9.jpg
    82.2 KB · Views: 9
Back
Top Bottom