mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Kazuri kenyewe๐Nilijua sokwe, nilivovaa miwani kumbe n mtu bhana ๐
C ndo kanatoka uko uko haka ka handsome boyWeee, hiyo picha ya pili mbona amefanana na wajaluo wa Rorya
Sasa mbona toka nikajue sijawahi kuona kana nywele hapo katikati zilienda wapi au kalizaliwa kazee tuC ndo kanatoka uko uko haka ka handsome boy
Wazee ni hazina.Haka kazee ketu , kanaonekana kapole , kastaarabu , Tena kazuri kenyewe kamenona na hakana shida na mtu.
Ila sasa ngoja kafungue mdomo wake kaanze kumwaga sera zake ,ndipo utajua ubaya wa njaa ikihamia kichwani
Beautiful boyKazuri kenyewe๐
Wazee wa daslamuHuyo ni nani huko daslamu ?
WowWazee wa daslamu