Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 413
..Hata mimi sioni picha yoyote hebu tuelekezeni jamani jinsi ya kuona hizo picha za maandamano hayo!!!hizo picha mbona hatuzioni naona umesema picha hizi hapa ziko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Hata mimi sioni picha yoyote hebu tuelekezeni jamani jinsi ya kuona hizo picha za maandamano hayo!!!hizo picha mbona hatuzioni naona umesema picha hizi hapa ziko wapi?
Nadhani maandamano yanapomkuta mtu aliyekusudiwa inakuwa ni nzuri zaidi kwani tunaamini kuwa ujumbe unamfikia moja kwa moja ingawa si lazima sana kuwa yapokelewe ndio kuwa halali. Uhalali wa maandamano nadhani ni mantiki ya wanaoandamana wanadhamiria kupeleka ujumbe gani ambao hautasababisha kero au uvunjifu wa utulivu/amani.Hivi maandamano lazima yapokelewe ili yawe halali?
Ndoa hii itadumu unless waandishi wanawezeshwa ipasavyo na vyombo vyetu vinakuwa na uwezo wa kusimama vyenyewe bila kuitegemea serikali.Nafurahia kusema kwamba ile "ndoa" kati ya viongozi wetu na baadhi ya waandishi wetu sasa imeanza kupungua kimapenzi na muda si mrefu mhimili huu wa nne utajitegemeza wenyewe.
Asante mkuu.Asante kwa picha Maxence. Pongezi wanahabari kwa kushika bango. Mapambano yanaendelea....
Mkuu,Nina wasiwasi uamuzi wa MKUCHIKA ni moja ya hatua za mwanzo za kumuundoa JK mwaka 2010 kwa kuchochea chuki ya moja kwa moja kati ya waandishi na JK ili ikifika 2010 waseme kuwa hauziki na mzigo kwa CCM halafu wamtafute kanyaboya atakayeweza KUAMINIKA kwa maslahi ya CHAMA na MFUMO FISADI....
Hapana mkuu Nziku,Max asante kwa taarifa hii na picha. Hivi wahariri wa new habari co-operation walikuwepo?
Asante mkuu.
Katika waliohudhuria sikumwona mhariri wa RAI wala Mtanzania.
Labda walikuwa na udhuru.
Asante bwana Max kwa picha nzuri kama hii ........
Mkuu Opaque,Message sent! Tuhabarisheni basi after arriving wizarani, walipokelewa vipi, na/au barua walimkabidhi nani? Tupe mkuu kilichojiri!