mzalendoalltz
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 828
- 709
Unataka kusema na marekani nao wanakula mavi kama kwenuHehehehe!! Wewe bwege kweli, uliambiwa nchi kuwa kwenye uchumi wa kiwango cha kati ina maana watu wasichangamkie pombe ya bure, hebu lori la beer libinuke kwenye kitaa chochote Marekani uone mziki wake hapo.
Hii ni zamani kabla hatujakuwa middle income. Bado tulikuwa LDC kama nyie.Hivi kweli jambo kama hili kwa nchi yenye kipato cha kati yanawezatokea ama naota.
Hehehehe!! Wewe bwege kweli, uliambiwa nchi kuwa kwenye uchumi wa kiwango cha kati ina maana watu wasichangamkie pombe ya bure, hebu lori la beer libinuke kwenye kitaa chochote Marekani uone mziki wake hapo.
Hii ni zamani kabla hatujakuwa middle income. Bado tulikuwa LDC kama nyie.
wacha marekani...kuna shekhe mmoja london ka simamisha lambo na kaanza kurusha hela juu na mizungu wanabwakurana...yani sijui watanzania wana nn..ikiwa ni kitu negative kwao...mzungu ni beberu..lkn km ni positive humtumiz mzungu kw mifaano yaoHehehehe!! Wewe bwege kweli, uliambiwa nchi kuwa kwenye uchumi wa kiwango cha kati ina maana watu wasichangamkie pombe ya bure, hebu lori la beer libinuke kwenye kitaa chochote Marekani uone mziki wake hapo.