Nedago
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 908
- 1,350
Tanzania inazidi kupiga hatua katika investment ya media house's Tuliona azam tv alivokuja na ni azam ni namba moja upande wa TV studio's ila kwenye radio bado.
Upande wa radio hapa tz kuna watu wamewekeza vizuri Sana,kama E-FM,na nyinginezo mikoani.
Lakini katika wote hawa wasafi chini ya diamond wamekuja kivingine katika upande wa investment ya media ukiachana na TV yao iliyotangulia na inafanya vizuri tu, na tayari wanapata sponsors vizuri tu
Tofauti na watu walivokuwa wanawakatisha tamaa na majungu mengi.
Watu walidhani jamaa wanatania kuja na media yao,lakini mpaka sasa wanachanja mbuga,
Nimebahatika kuiona on air studio yao kwenye mitandao,aiseee nadhani kwa hapa tz Hakuna on air studio ya redio kali Kama ya wasafi fm na inasadifu Jina hilo.
Nadhani inawezekana ukitaja Africa mashariki au Afrika inaweza kuwa kwenye top 3,naamini hivyo na Kama kuna mtu anabisha na anapicha au studio za redio zingine bongo au Africa,on air studio za redio kali Kama wasafi atuwekee hapa tushindanishe.
Mimi binafsi kwa tz na Africa mashariki nawapa namba moja,na nawapongeza kwa hatua hii,wanazidi kuwafunga midomo haters wao kila siku.