Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amini kwamba chalianga,Iyo NRG Radio ni kisanga robo3 dingii alaf Block89 sidhani kama mtu imara anastahili kuwa pale,ni mkimya kisoro asee alaf hana Chemistry na wenzake,sijajua labda bado mpya kwenye Hizi mbanga
Tanzania inazidi kupiga hatua katika investment ya media house's Tuliona azam tv alivokuja na ni azam ni namba moja upande wa TV studio's ila kwenye radio bado.
Upande wa radio hapa tz kuna watu wamewekeza vizuri Sana,kama E-FM,na nyinginezo mikoani.
Lakini katika wote hawa wasafi chini ya diamond wamekuja kivingine katika upande wa investment ya media ukiachana na TV yao iliyotangulia na inafanya vizuri tu, na tayari wanapata sponsors vizuri tu
Tofauti na watu walivokuwa wanawakatisha tamaa na majungu mengi.
Watu walidhani jamaa wanatania kuja na media yao,lakini mpaka sasa wanachanja mbuga,
Nimebahatika kuiona on air studio yao kwenye mitandao,aiseee nadhani kwa hapa tz Hakuna on air studio ya redio kali Kama ya wasafi fm na inasadifu Jina hilo.
Nadhani inawezekana ukitaja Africa mashariki au Afrika inaweza kuwa kwenye top 3,naamini hivyo na Kama kuna mtu anabisha na anapicha au studio za redio zingine bongo au Africa,on air studio za redio kali Kama wasafi atuwekee hapa tushindanishe.
Mimi binafsi kwa tz na Africa mashariki nawapa namba moja,na nawapongeza kwa hatua hii,wanazidi kuwafunga midomo haters wao kila siku.View attachment 1101841View attachment 1101842View attachment 1101843View attachment 1101844View attachment 1101845View attachment 1101846
Ilo ndo jina la jamaa[emoji848][emoji848]Anaitwa captain chandler mkuu,Hatari uyo jamaa
Ilo ndo jina la jamaa[emoji848][emoji848]
Hmm
Mbona kuna watangazaji wazuri Sana pale na wanapiga kazi nzuri,mfano tu kwenye TV,graphics za wasafi ni bora kuliko Cloud's TV,na wameshaanza kuachwa Mbali kwa Ubora wa matangazo.Kusaga ana kazi ya kujishinda, master minder kama ruge anatakiwa wasafi FM.
dunia ya sasa ya digital content matters alot, wana miaka 12 kuipata crew nzima ya clouds, efm, east africa
Moja ya kosa la Kusaga kufungua wasafi FM huku akiwa na Clouds ni alitakiwa kuwaandaa au kusajiri kikosi
Pole sana.. Uko mwenyewe umepingana na mada
Hata Wasafi wamepanga jengo sio laoKumbuka jengo sio lao so yawezekana Hawawezi kufanya kila wanachotaka Kama mwenye jengo hataki.