Katika Radio zenye on air studio kali tz,probably wasafi fm ni namba moja tz.

Nedago

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
908
Reaction score
1,350
Tanzania inazidi kupiga hatua katika investment ya media house's Tuliona azam tv alivokuja na ni azam ni namba moja upande wa TV studio's ila kwenye radio bado.

Upande wa radio hapa tz kuna watu wamewekeza vizuri Sana,kama E-FM,na nyinginezo mikoani.

Lakini katika wote hawa wasafi chini ya diamond wamekuja kivingine katika upande wa investment ya media ukiachana na TV yao iliyotangulia na inafanya vizuri tu, na tayari wanapata sponsors vizuri tu

Tofauti na watu walivokuwa wanawakatisha tamaa na majungu mengi.

Watu walidhani jamaa wanatania kuja na media yao,lakini mpaka sasa wanachanja mbuga,

Nimebahatika kuiona on air studio yao kwenye mitandao,aiseee nadhani kwa hapa tz Hakuna on air studio ya redio kali Kama ya wasafi fm na inasadifu Jina hilo.

Nadhani inawezekana ukitaja Africa mashariki au Afrika inaweza kuwa kwenye top 3,naamini hivyo na Kama kuna mtu anabisha na anapicha au studio za redio zingine bongo au Africa,on air studio za redio kali Kama wasafi atuwekee hapa tushindanishe.

Mimi binafsi kwa tz na Africa mashariki nawapa namba moja,na nawapongeza kwa hatua hii,wanazidi kuwafunga midomo haters wao kila siku.
 
ni kweli mkuu jamaa wamejipanga kweli kweli kwenye muonekano ila maswali ya watangazaji wao + contents ni 0, yani watangazaji wanabebwa na platform tu interviews ni manyoya matupu.. Kwa africa mashariki kuna radio iko kenya inatwa NRG RADIO aisee ile studio imewekezwa balaa. Alafu wasafi radio yao haiko STEREO kama radio nyengine. ni bora waboreshe usikivu mzuri zaidi kwa sasa kuliko muonekano wa office.
 
Ni kweli energy ya Kenya iko poa nayo mkuu.
 
Kwenye studio jamaa wmetisha sana,sema interview zao inabidi waboreshe zaidi...kidgo yuke calipso anajua kufanya pindi liwe la kijanja...Naona wamemuiba from pro 24 dj
Hiyo avater yako mzee ..Huyo jamaa ni shida sana
 
Kwenye studio jamaa wmetisha sana,sema interview zao inabidi waboreshe zaidi...kidgo yuke calipso anajua kufanya pindi liwe la kijanja...Naona wamemuiba from pro 24 dj
Wako njema,nadhani ndio mwanzo let's wait tuone Kama watabadirika.
 
Hili halishangazi kwa sababu kwa kawaida Mond ni mpenda vizuri! Angalia hata video zake alivyokuwa anazigharamia kipindi ambacho mtu kama Afande Selle alikuwa anasema 1 Million inatosha sana kutengeneza video na hao wengine poda poda na liptsick nyingi ndo maana wanaingia gharama kubwa!!
 
Amini kwamba chalianga,Iyo NRG Radio ni kisanga robo3 dingii alaf Block89 sidhani kama mtu imara anastahili kuwa pale,ni mkimya kisoro asee alaf hana Chemistry na wenzake,sijajua labda bado mpya kwenye Hizi mbanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…