usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,956 Reaction score 14,032 May 22, 2019 #41 Mleta mada utakua mgonjwa kama co Umechiz tembea uone inawezekana hio Ndo studio yako ya kwanza kuona Hee hee
Mleta mada utakua mgonjwa kama co Umechiz tembea uone inawezekana hio Ndo studio yako ya kwanza kuona Hee hee
Nedago JF-Expert Member Joined Sep 26, 2018 Posts 908 Reaction score 1,350 May 22, 2019 Thread starter #42 usser said: Mleta mada utakua mgonjwa kama co Umechiz tembea uone inawezekana hio Ndo studio yako ya kwanza kuona Hee hee Click to expand... We kenge Weka hapa hizo picha za hio studio Kama sio B12 wewe basi sudy,hivi unaelewa maana ya neno probably?acha kukurupuka Kama mbakaji.
usser said: Mleta mada utakua mgonjwa kama co Umechiz tembea uone inawezekana hio Ndo studio yako ya kwanza kuona Hee hee Click to expand... We kenge Weka hapa hizo picha za hio studio Kama sio B12 wewe basi sudy,hivi unaelewa maana ya neno probably?acha kukurupuka Kama mbakaji.
Nedago JF-Expert Member Joined Sep 26, 2018 Posts 908 Reaction score 1,350 May 22, 2019 Thread starter #43 brave one said: Hata Wasafi wamepanga jengo sio lao Sema labda wahamie kwenye jengo zuri zaidi Click to expand... Ni kweli but tunazungumzia maridhiano ya marekebisho ya Chumba na mwenye jengo mkuu.
brave one said: Hata Wasafi wamepanga jengo sio lao Sema labda wahamie kwenye jengo zuri zaidi Click to expand... Ni kweli but tunazungumzia maridhiano ya marekebisho ya Chumba na mwenye jengo mkuu.
MIGUGO JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,137 Reaction score 3,931 Jun 9, 2019 #44 Aisee Wasafi niliwachukulia poa.Ngoma mnazopiga noma mida hii.
mwanazuoni mgeni JF-Expert Member Joined Sep 11, 2016 Posts 1,944 Reaction score 1,726 Jun 9, 2019 #45 LICHADI said: pale clouds wana studio kama geto alafu sudy anapambana na mondi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
LICHADI said: pale clouds wana studio kama geto alafu sudy anapambana na mondi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]