Katika Serikali 3, MUUNGANO utaimarika, CCM itakufa: Hii ndo hofu na sababu CCM kukataa Serikali3

Katika Serikali 3, MUUNGANO utaimarika, CCM itakufa: Hii ndo hofu na sababu CCM kukataa Serikali3

Ifweero sijui nikitu gani kina msumbua hadi anashindwa kuwasiliana na ubongo wake kabla haja andika vituko hapa jf, kwa wanao mfahamu huyu jamaa kweli yupo vizuri kichwani?
 
Machadema yanataka kuvunja muungano ili yatawale tanganyika baada ya kuona ndani a muungano ni ndoto kwao kuiona ikulu

Hivi wewe unatumia kichwa kwenye kuchangia au mmekaririshwa tu bila kutumia upeo wako. Kwa matatizo haya mnayoyaita kero za muungano miaka 30 sasa hakuna suluhu bali kero zinazidi hamioni kuwa njia mnayopita si sahihi mnapaswa kutafuta plan b, ambayo ni serekali 3.
 
Back
Top Bottom