OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hapa Bongo na Afrika Mashariki yote tunaye masta mmoja tu. Si mwingine bali ni Lecturer wa sexy soccer Triple C Mnyama Chama mwenye uwezo wa kupiga magoli ya slow motion.
Nakubaliana na wasemayo Yanga kwamba lile goli la kisigino alilowapiga Nkana lilimgonga tu na haukuwa ufundi wake(Haaaaa haaaaa Yanga bana)
Kuna wachezaji kule upande wa pili nao wameanza kujiita masta. Litendeeni haki hadhi ya masta.