Katika soka, Staa ni mmoja tu Afrika Mashariki nzima

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Hapa Bongo na Afrika Mashariki yote tunaye masta mmoja tu. Si mwingine bali ni Lecturer wa sexy soccer Triple C Mnyama Chama mwenye uwezo wa kupiga magoli ya slow motion.

Nakubaliana na wasemayo Yanga kwamba lile goli la kisigino alilowapiga Nkana lilimgonga tu na haukuwa ufundi wake(Haaaaa haaaaa Yanga bana)

Kuna wachezaji kule upande wa pili nao wameanza kujiita masta. Litendeeni haki hadhi ya masta.
 
Basi we hujawaona hapa Tz wapo wengi tu,hata captain wa serengeti boys chama hawezi mfikia
 
Post No. 11
Chama hafikii hata nusu ya uwezo wa Haruna Niyonzima alivyokuwa kwenye peak...Haruna anatema mate huku anafukia kule...mwangalieni Chama kwenye mechi ambazo Simba hawashindi....
 
Huyo Haruna mwenyewe kamvisha nyota Triple C,halafu unakuja Yanga unapiga blah blah
 
Back
Top Bottom