OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mimi sio mikia ila huyo jamaa kibongo bongo ni fundi.
Mkuu mpaka sasa hujaamini tu kama Triple C ni masta?Serunkuma,Mavugo walizingua mapema kabisa.
Acha unaaMimi sio mikia ila huyo jamaa kibongo bongo ni fundi.
Anafunga,ana assist,anakuburudisha.
Huwa nachek mechi za mikia sababu ya huyo jamaa
Sio kila asiye Simba basi ni Yanga,kuna Azam pia
Basi we hujawaona hapa Tz wapo wengi tu,hata captain wa serengeti boys chama hawezi mfikia
Hapa Bongo na Afrika Mashariki yote tunaye masta mmoja tu. Si mwingine bali ni Lecturer wa sexy soccer Triple C Mnyama Chama mwenye uwezo wa kupiga magoli ya slow motion.
Nakubaliana na wasemayo Yanga kwamba lile goli la kisigino alilowapiga Nkana lilimgonga tu na haukuwa ufundi wake(Haaaaa haaaaa Yanga bana)
Kuna wachezaji kule upande wa pili nao wameanza kujiita masta. Litendeeni haki hadhi ya masta.
Na yule mwingine Bologn sijui jina limenitoka.
Mkuu acha kuokoteza hoja,tunazungumzia uwezo wa ChamaNa yule mwingine Bologn sijui jina limenitoka.
Beki wao mpya wa Ivory Coast ameonyesha umahiri wa kukata mauno kwenye boat wakienda Zanzibar.
Upo sawa mkuu, ila Sunday manara computer, mtu alipewa hilo jina kabla computer hazijaingia Bongo sembuse huyu dogo, sema lazima kwasababu ya umri wako ni halali kushangaa dogo chamaMaster mmoja tu na haitakuja kutokea Charles Boniface Mkwasa
Post No. 11Mkuu acha kuokoteza hoja,tunazungumzia uwezo wa Chama
Hahahahaha yule sijui blanyoni bila kumsahau Pape NdewNa yule mwingine Bologn sijui jina limenitoka.
Beki wao mpya wa Ivory Coast ameonyesha umahiri wa kukata mauno kwenye boat wakienda Zanzibar.
Chama hafikii hata nusu ya uwezo wa Haruna Niyonzima alivyokuwa kwenye peak...Haruna anatema mate huku anafukia kule...mwangalieni Chama kwenye mechi ambazo Simba hawashindi....Post No. 11
Huyo Haruna mwenyewe kamvisha nyota Triple C,halafu unakuja Yanga unapiga blah blahChama hafikii hata nusu ya uwezo wa Haruna Niyonzima alivyokuwa kwenye peak...Haruna anatema mate huku anafukia kule...mwangalieni Chama kwenye mechi ambazo Simba hawashindi....
soma vizuri...nimesema Haruna alivyokuwa kwenye kiwango bora Rwanda wakifuzu AFCONHuyo Haruna mwenyewe kamvisha nyota Triple C,halafu unakuja Yanga unapiga blah blah