Katika Suala la Mahusiano kaka yenu sina bahati

Nitafute nikupe kazi moja ya maana sana hapo Dom town Jiji lenye vumbi.
 
kaka sijasomaa , content yako hadi mwisho ila naomba nikwambie kitu!

( unayataka, unaeleza kuwa una pesa, una mradi, maisha ya kwenu ya kushua, una pre-tend maishaa) sasa tulia. dawa iingie
 
Kama haupo tayari KUOA kwa sasa.. hawa viumbe ACHANA NAO.. nakushauri vizuri tu.. ila kama huelewi ENDELEA
 
Kwa hii hali utakuwa na nyota ya "DANGA" mzee mwenzangu
 
Kama wana mikia vumilia tu mkuu. Tafuta hela oli ukiombwa kamilioni isiwe pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…