Katika Suala la Mahusiano kaka yenu sina bahati

Katika Suala la Mahusiano kaka yenu sina bahati

Daah....nisaidie na mimi kaka(ndugu yako above 40 years) nipasie hata mmoja awe na sura nzuri na shape nzuri.msafi na elimu angalau kidato cha nne. Nisaidie sana.

Mfano nipo week ya Pili hii Dodoma sijaona ISSUE yaani mpaka roho inaniuma. Wenzangu tuliokuja nao wanajipatia blankets nzuri nyingi tu.mimi nalala na baridi naamka na baridi.na hii mvua inayonyesha....naumia sana.
Uko serias nikupasie pisi huko dodoma
 
Mtoa mada si ulishaoa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20201123-103217.jpg
 
Ukweli ni kwamba tafuta hela mkuu....95% ya mademu mwendo wao ni pesa.....kuanzia mambo ya vocha , usafiri, saluni , chakula , vinywaji , baba/mama mgonjwa, sare za kitchen party ,harusi , michango , VICOBA, simu imeibiwa/kupasuka ,husumua kwa watoto(single mothers,kodi ya nyumba, mtaji,nk nk nk...na haya yote huwa yanakuja baada ya muda mfupi au wanakulia timing kwa jinsi ulivyo jiingiza mkenge........siyo walokole wala wanakwaya wote wanapigia humo humo
 
Mie huwa natoa mtihani mdogo tu kwa mwanamke anae omba hela.
Nataka france kiss moja nzitooo, kma dakika 2 tu, kuhidhinisha mahusiano yetu lasmi, kisha nakupa ulicho omba,
Mwanamke akiweza hapo, huyo lazima mzigo atakuja kutoa tu.
Mambo ya Tamthiliya hayo bw mdogo........ukikua utaacha
 
Noma sana. Hivi siku hizi zile cards na maua ya makopa kopa zinanunulika kweli?
Hahahah soko la kadi limekuwa gumu sana nahisi hata "hallmark" watakuwa wamefunga agency zao hapa bongo 😂😂😂
 
Ukweli ni kwamba tafuta hela mkuu....95% ya mademu mwendo wao ni pesa.....kuanzia mambo ya vocha , usafiri, saluni , chakula , vinywaji , baba/mama mgonjwa, sare za kitchen party ,harusi , michango , VICOBA, simu imeibiwa/kupasuka ,husumua kwa watoto(single mothers,kodi ya nyumba, mtaji,nk nk nk...na haya yote huwa yanakuja baada ya muda mfupi au wanakulia timing kwa jinsi ulivyo jiingiza mkenge........siyo walokole wala wanakwaya wote wanapigia humo humo
Kiufupi tu mwambie soko la mapenzi ni gumu sana hapa Daslamu 😂😂😂 ajiandae kisaikolojia maana katika mademu 10 ambaye hatamletea njaa ni m1
 
Awe na hips ,rangi yoyote,msafi angalau kiingereza hakimpigi chenga, asiwe mwenye kuendekeza njaa,awe mstaarabu,msafi na sura na tabia nzuri. Kifupi asiwe wa kujiuza. Awe tayari kwenda kupima umeme.

Toa description zako unataka iweje,mweupe mweusi,bonge au model
 
So WHAT? KWANI MTU AKIOA NI KAMA AMEPATA MOYO KUWA SIKU AKICHANA NA MKEWE NAYE ANAFARIKI? ACHA TABIA ZA KIKE. Usinikumbushe Machungu. Mimi nliyeandika nafahamu nilichoandika. Na why nimetaka msichana kipindi hiki.

Mtoa mada si ulishaoa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1632853
 
So WHAT? KWANI MTU AKIOA NI KAMA AMEPATA MOYO KUWA SIKU AKICHANA NA MKEWE NAYE ANAFARIKI? ACHA TABIA ZA KIKE. Usinikumbushe Machungu. Mimi nliyeandika nafahamu nilichoandika. Na why nimetaka msichana kipindi hiki.
Mkuu umeongea kwa hisia sana nimeamini uko serious na hili jambo.
 
Back
Top Bottom