Uko serias nikupasie pisi huko dodomaDaah....nisaidie na mimi kaka(ndugu yako above 40 years) nipasie hata mmoja awe na sura nzuri na shape nzuri.msafi na elimu angalau kidato cha nne. Nisaidie sana.
Mfano nipo week ya Pili hii Dodoma sijaona ISSUE yaani mpaka roho inaniuma. Wenzangu tuliokuja nao wanajipatia blankets nzuri nyingi tu.mimi nalala na baridi naamka na baridi.na hii mvua inayonyesha....naumia sana.
Uko serias nikupasie pisi huko dodoma
Toa description zako unataka iweje,mweupe mweusi,bonge au modelNdiyo
Nipe mm huyu alishaoa[emoji116]Uko serias nikupasie pisi huko dodoma
Kweli aisee nilitaka kumpa pisi ya maanaNipe mm huyu alishaoa[emoji116]View attachment 1632858
Nipe hiyo pisi chiefKweli aisee nilitaka kumpa pisi ya maana
Mambo ya Tamthiliya hayo bw mdogo........ukikua utaachaMie huwa natoa mtihani mdogo tu kwa mwanamke anae omba hela.
Nataka france kiss moja nzitooo, kma dakika 2 tu, kuhidhinisha mahusiano yetu lasmi, kisha nakupa ulicho omba,
Mwanamke akiweza hapo, huyo lazima mzigo atakuja kutoa tu.
Hahahah soko la kadi limekuwa gumu sana nahisi hata "hallmark" watakuwa wamefunga agency zao hapa bongo 😂😂😂Noma sana. Hivi siku hizi zile cards na maua ya makopa kopa zinanunulika kweli?
Kiufupi tu mwambie soko la mapenzi ni gumu sana hapa Daslamu 😂😂😂 ajiandae kisaikolojia maana katika mademu 10 ambaye hatamletea njaa ni m1Ukweli ni kwamba tafuta hela mkuu....95% ya mademu mwendo wao ni pesa.....kuanzia mambo ya vocha , usafiri, saluni , chakula , vinywaji , baba/mama mgonjwa, sare za kitchen party ,harusi , michango , VICOBA, simu imeibiwa/kupasuka ,husumua kwa watoto(single mothers,kodi ya nyumba, mtaji,nk nk nk...na haya yote huwa yanakuja baada ya muda mfupi au wanakulia timing kwa jinsi ulivyo jiingiza mkenge........siyo walokole wala wanakwaya wote wanapigia humo humo
Toa description zako unataka iweje,mweupe mweusi,bonge au model
Mtoa mada si ulishaoa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1632853
ishu siyo pisi ..je una hela?Ndiyo
ishu siyo pisi ..je una hela?
Hahahaaaaa. Miaka inakwenda kasi mnoHahahah soko la kadi limekuwa gumu sana nahisi hata "hallmark" watakuwa wamefunga agency zao hapa bongo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi ndio response za ki "NAZI" kama watoto wa HitlerKuna mmoja jana nimemtext nampa hi ananiambia "Naendelea vizuri ila jua kali mno" nikamwambia "Mbona nasikia Dar mvua zinanyesha hamna jua kali".
Hajajibu mpaka leo.
Kuna Voltmeter hapa...Ukifanikiwa kumpata njoo niwapime mkuu😁Awe na hips ,rangi yoyote,msafi angalau kiingereza hakimpigi chenga, asiwe mwenye kuendekeza njaa,awe mstaarabu,msafi na sura na tabia nzuri. Kifupi asiwe wa kujiuza. Awe tayari kwenda kupima umeme.
Mkuu umeongea kwa hisia sana nimeamini uko serious na hili jambo.So WHAT? KWANI MTU AKIOA NI KAMA AMEPATA MOYO KUWA SIKU AKICHANA NA MKEWE NAYE ANAFARIKI? ACHA TABIA ZA KIKE. Usinikumbushe Machungu. Mimi nliyeandika nafahamu nilichoandika. Na why nimetaka msichana kipindi hiki.