Katika Suala la Mahusiano kaka yenu sina bahati

Mkuu kuna watu wana tabia za kikuda,kidaku,kimbea kama mademu wa uswazi.huwa wananishangaza sana kutaka fuatilia maisha ya watu. Mi huwa siwezi aisee....unachonambia leo ndo ninachoshika ya jana hayanihusu tena. Nasonga mbele. So kuna mambo sisi wengine tunayaacha hatundiki. Leo nmekuja na hili nililo nalo kwa kipindi hiki kavulana haka kanasema jamaa alishaoa....but kwani kama ulishawah ona hakuna uwezekano wa kuwa ume divorce ?

Mkuu umeongea kwa hisia sana nimeamini uko serious na hili jambo.
 
Mie huwa natoa mtihani mdogo tu kwa mwanamke anae omba hela.
Nataka france kiss moja nzitooo, kma dakika 2 tu, kuhidhinisha mahusiano yetu lasmi, kisha nakupa ulicho omba,
Mwanamke akiweza hapo, huyo lazima mzigo atakuja kutoa tu.
Duuh niko nyuma ya wakati kumbe, france kiss ndo ipi hiyo mkuu
 
Dodoma hujapata haya viti maalum!
Usajili mpya wahi mjengoni upate conection.
 
😂😂😂Jamaaa sijui anakwama wapi!!above 40 anawaaaza kununua tecno ale mema ya nchi..aache uchoyo
Kweli Ila dah, wamezidi sasa we mara mama wa kambo kafa, mara nauli ya mwanza mara hela za bia, mara simu imevunjika kioo. Inachosha mwili na roho.
 
True..ukimpenda mwanaume hata pesa huwezi omba hovyohovyo na ukipata yule anaejua wajibu ndo huwez hata kuomba mana unakuta anakupa mwenyewe ko kumuomba inakuwa ngumu labda itokee pale inapobidi ukiwa tightly kweli lakin kama hujampenda ni vizingaaa tu daily
 
Polee..hapo hapana Upendo unakutana na vichomi yaan wanakua na wewe for something sio kwa mapenzi thus why haichukui siku unapgwa viznga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…