Katika Suala la Mahusiano kaka yenu sina bahati

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Inaniumiza sana.kila demu ninayempata anakuwa na shida moja tu. Yaani hazipiti siku 2 anaomba pesa. Hii tabia imekuwa kwangu kufanyiwa ni kawaida.

Nimepata msichana nikaanza sema moyo ngoja nikae hapa. Tumeonana mara moja kesho yake ananambia simu yake mbovu nimnunulie nyingine. Nlijisikia vibaya kidogo why so soon?

Mwingine ndani ya masaa 6 anaomba nimwongezee tsh 40,000 anunue gas imeisha. Nikamtumia 30,000. After two days ananambia simu yake imepasuka kikoo. Ni Samsung kioo kaambiwa 200,000 naye hana hela.so sitompata hewani baada ya ule muda.

Nikasikitika naye nikamwambia ntamwombea simu ipone.akakata simu. Naendelea kumwona online.nikapost picha flani na wana Insta akaniona nakula maisha. Akanipigia kulaumu sana.kuwa nawezaje kwenda out huku sijamtumia pesa? Nlishangaa sana.

Nikaja pata mwingine.tumewasiliana kidogo tu siku mbili anasema biashara yake imekata sana anahitaji aongezewe 400,000. Ili achukue mzigo.nikamwambia hilo suala tuliweke kwenye maombi. Akakasirika. Meseji zangu hakujibu week nzima. Nikaja tuma text kuwa nimepata 350,000 akajibu akiniita sweet n.k nikamuuliza texts zangu mbona alikuwa hajibu akasema alikuwa tight sana kutafuta pesa.

Huyu mwingine ndani ya week moja amefiwa na mama yake wa kufikia(nlimuuliza why afikie kwa mtu wakati miaka yote amezaliwa Dar) hakunijibu. Ila nlishangaa huyu dada anasema wazazi wake wanaishi sinza. Amekulia sinza anafanya kazi Dar. Sasa why afikie kwa huyo mama?

Haya ....mara shangazi yake wa mwanza kafariki inabidi aende.asipoenda ndugu hawatamwelewa.so anaomba nauli.wakati huo hup she told me pesa zake anazitumia kumhudumia mama yake mgonjwa.nikisema nami nataka nikamsalimie.vipengele vinakuwa vingi sana.

Mwingine siku moja tu tumefahamiana tena kwenye mtandao wa kijamii.kesho yake anataka nimtumie 40,000 aende salon.

Huyu wa last week nampenda, naogopa mpigia au pokea simu yake.maana kila nikimpigia lazima ataomba pesa ya beer.kila akipiga mwishoni nimtumie pesa ya beer.nlimshauri sababu ana advanced diploma ya mambo ya management in something a apply TBL hakujibu kitu.

Basi tu nmejikunyata maskini naumia sana moyoni.WHY ME? NAJIULIZA. AU ndo nyota ya Buzi? This isnt fair kabisa. Wadada muwe na huruma. Tujaribu hata kupendana dada zanguni. Naumia sana, nakonda kwa mawazo.
 
M
Inaniumiza sana.kila demu ninayempata anakuwa na shida moja tu. Yaani hazipiti siku 2 anaomba pesa. Hii tabia imekuwa kwangu kufanyiwa ni kawaida.

Nimepata msichana nikaanza sema moyo ngoja nikae hapa. Tumeonana mara moja kesho yake ananambia simu yake mbovu nimnunulie nyingine. Nlijisikia vibaya kidogo why so soon?

Mwingine ndani ya masaa 6 anaomba nimwongezee tsh 40,000 anunue gas imeisha. Nikamtumia 30,000. After two days ananambia simu yake imepasuka kikoo. Ni Samsung kioo kaambiwa 200,000 naye hana hela.so sitompata hewani baada ya ule muda.

Nikasikitika naye nikamwambia ntamwombea simu ipone.akakata simu.naendelea kumwona online.nikapost picha flani na wana Insta akaniona nakula maisha. Akanipigia kulaumu sana.kuwa nawezaje kwenda out huku sijamtumia pesa? Nlishangaa sana.

Nikaja pata mwingine.tumewasiliana kidogo tu siku mbili anasema biashara yake imekata sana anahitaji aongezewe 400,000. Ili achukue mzigo.nikamwambia hilo suala tuliweke kwenye maombi. Akakasirika. Meseji zangu hakujibu week nzima. Nikaja tuma text kuwa nimepata 350,000 akajibu akiniita sweet n.k nikamuuliza texts zangu mbona alikuwa hajibu akasema alikuwa tight sana kutafuta pesa.

Huyu mwingine ndani ya week moja amefiwa na mama yake wa kufikia(nlimuuliza why afikie kwa mtu wakati miaka yote amezaliwa Dar) hakunijibu. Ila nlishangaa huyu dada anasema wazazi wake wanaishi sinza. Amekulia sinza anafanya kazi Dar. Sasa why afikie kwa huyo mama?

Haya ....mara shangazi yake wa mwanza kafariki inabidi aende.asipoenda ndugu hawatamwelewa.so anaomba nauli.wakati huo hup she told me pesa zake anazitumia kumhudumia mama yake mgonjwa.nikisema nami nataka nikamsalimie.vipengele vinakuwa vingi sana.

Mwingine siku moja tu tumefahamiana tena kwenye mtandao wa kijamii.kesho yake anataka nimtumie 40,000 aende salon.

Huyu wa last week nampenda, naogopa mpigia au pokea simu yake.maana kila nikimpigia lazima ataomba pesa ya beer.kila akipiga mwishoni nimtumie pesa ya beer.nlimshauri sababu ana advanced diploma ya mambo ya management in something a apply TBL hakujibu kitu.

Basi tu nmejikunyata maskini naumia sana moyoni.WHY ME? NAJIULIZA. AU ndo nyota ya Buzi? This isnt fair kabisa. Wadada muwe na huruma. Tujaribu hata kupendana dada zanguni. Naumia sana, nakonda kwa mawazo.
Mkuu angalia na aina ya madem unao date nao hilo ndilo tatizo huenda waga unadate na Masanga moja kwa moja pili njia zako za uongozaji huenda unaingia kidon sana sio kwamba huna bahati tatzo ni ww mwenyw hujui ni aina ipi ya wanawake udate nao mbna mi nakula mizigo fresh tu tena bila mznga mpaka sometime najshtukia natoa mwenyewe motisha ya mapenzi mkuu
 
Daah....nisaidie na mimi kaka(ndugu yako above 40 years) nipasie hata mmoja awe na sura nzuri na shape nzuri.msafi na elimu angalau kidato cha nne. Nisaidie sana.

Mfano nipo week ya Pili hii Dodoma sijaona ISSUE yaani mpaka roho inaniuma. Wenzangu tuliokuja nao wanajipatia blankets nzuri nyingi tu.mimi nalala na baridi naamka na baridi.na hii mvua inayonyesha....naumia sana.

Shida nini mkuu sema tupo mikoa tofauti ungejipatia ofisi kali saiv tu
 
Mkuu jiangalie kuna pahala unakosea !!!

1,,,unachukua typ ambazo sio zako (((
2,,, approach yako mbovu pengine wanakuchullia zwazwa ndo maana unakula mizinga tu
3,,, pengine unapenda show off , Dem anasema ngoja nimkomeshe huyu

4,,, mwanzon pengine unawakosea pengine kuwaonesha una hela au unawapeleka outing za gharama kumbe sio maisha yako

Jiangalie unakosea wapi ! Madem mbona wamejaa kitaa tu ? Utampata unaendana nae !!

Note; Hakuna Dem utampata bure bure kabisa hata vocha asikuombe, ukitaka hivo kuwa mariooo au jisajili chaputa!

All the best
 
Unaombwaga pesa kabla au baada ya mechi???

Kama kabla we ni booonge la poyoyoooo
 
Uchumi Wa Kati
BwanaBure Hayupo
😁😂😀😅😄😄😃😁😂🤣😃😄😅
Nasema Uongo Ndugu Zangu

Nangoja Mchango Wa Maji Ya Gundu
 
Daah....nisaidie na mimi kaka(ndugu yako above 40 years) nipasie hata mmoja awe na sura nzuri na shape nzuri.msafi na elimu angalau kidato cha nne. Nisaidie sana.

Mfano nipo week ya Pili hii Dodoma sijaona ISSUE yaani mpaka roho inaniuma. Wenzangu tuliokuja nao wanajipatia blankets nzuri nyingi tu.mimi nalala na baridi naamka na baridi.na hii mvua inayonyesha....naumia sana.
Ni pm no zako mkuu nikusaidie
 
Mkuu

Inaonekana hupumzikagi kupenda pindi ukiwaacha!?

Au hao wote ulikuwa nao kwa wakati mmoja na wakakushinda kwa gharama?

Sizani km ukiwa na mmoja 30k mbona ndogo,,, mjenge vizuri uache ubahiri.
 
Mkuu hapa tatizo ni wewe sio hao wanawake kuna namna unatakiwa ufix unavyofanya mambo yako , wanawake wote wanapenda pesa ni kweli na huwez wapata bila pesa ni kweli pia ila wanawake wote sio wapiga vizinga kuna mwanamke anakutengenezea mazingira pesa unatoa mwenyewe bila kuombwa mkuu... we jamaa unatongoza wanawake ambao hawakupend kabisa.
 
Asilimia 97 ya wanawake wa Dar wanauza K. either DIRECT OR INDIRECT) sasa cha kufanya,,,acha kuhangaika na kutongoza. Ingia tinder,badoo,love 4 u, etc. nunua demu mgonge then kila mtu afate yake. ukiona huko ni gharama basi zama zako sinza/Temeke/Tandale/Buguruni/Ubungo riverside utapata mpaka demu wa buku 5 afu room yake.
 
Back
Top Bottom