Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Amri toka juu!Kwa namna kina bwashee Swai walivyojazana pale TRA ni lazima Freeman alikuwa na shida kwenye maswala yake ya kodi wasingemsulubisha boss wa chama chao!
Achaa urongooo. Kuna kampuni nyingine anafanya rafiki yangu wamefungiwa accounts zote za kampuni eti wana daiwa kodi ya 2014...mpaka leo hawajalipwa mshahara. Kila mwaka TRA huwapa VAT clearance certificate ikimaanisha kuwa wamelipa kodi na hawadaiwi. Huu uonezi umezidi aiseee.Kwa namna kina bwashee Swai walivyojazana pale TRA ni lazima Freeman alikuwa na shida kwenye maswala yake ya kodi wasingemsulubisha boss wa chama chao!
TRA imekuwa kichaka kinachotumiwa na wanasiasa kukomoa wafanya biashara.Achaa urongooo. Kuna kampuni nyingine anafanya rafiki yangu wamefungiwa accounts zote za kampuni eti wana daiwa kodi ya 2014...mpaka leo hawajalipwa mshahara. Kila mwaka TRA huwapa VAT clearance certificate ikimaanisha kuwa wamelipa kodi na hawadaiwi. Huu uonezi umezidi aiseee
Amri ya Boss wa Chama na Boss wa Nchi ipi inafatwa na watumishi? MATAGA bado hamtaki kukubali kuwa pamoja na mazuri ya SHUJAA bado alikuwa na MAOVU mengi (roho ya kufilisi matajiri, kuteka, kutesa, kuua, kubambika kesi, kuminya uhuru wa habari, kupenda kusifiwa, kunanga wapinzani, alikosa staha ya kauli, hakuwa mfariji).Kwa namna kina bwashee Swai walivyojazana pale TRA ni lazima Freeman alikuwa na shida kwenye maswala yake ya kodi wasingemsulubisha boss wa chama chao!
Ebu dadavua kidogo mkuu.TRA imekuwa kichaka kinachotumiwa na wanasiasa kukomoa wafanya biashara.
STAHA YA MANENO hapo ndipo ninapopishana na shujaa wa ufipa Ndugu LISSU.Amri ya Boss wa Chama na Boss wa Nchi ipi inafatwa na watumishi? MATAGA bado hamtaki kukubali kuwa pamoja na mazuri ya SHUJAA bado alikuwa na MAOVU mengi (roho ya kufilisi matajiri, kuteka, kutesa, kuua, kubambika kesi, kuminya uhuru wa habari, kupenda kusifiwa, kunanga wapinzani, alikosa staha ya kauli, hakuwa mfariji).
Hitler aliijenga Ujerumani, aliitoa kwenye anguko la uchumi kwa kuanzisha programs nyingi nzuri lakini leo hii sehemu mashuhuri ya historia yake ni kuteka, kutesa, kuua na kuminya wapinzani!
SHUJAA alikuwa na both sides of the coin, let's accept that.
M. Kayamba
Kaburini Chato
Katika suala hili la Mbowe, TRA wali cease hadi account binafsi.Siyo siri TRA imekuwa ikitumika kuwakomoa wafanyabiashara wengi.
Sasa mmeanikwa.
Ukiwa mfanya biashara halafu mpinzani kama Mbowe, basi vijimemo "toka juu" ndiyo vinashughulikiwa kwa "weledi wa ukusanyaji kodi".
Katika suala hili la Mbowe, TRA wali cease hadi account binafsi.
Ni kwa sheria ipi?
Ndio maana kama kuna sheria hiyo basi Bunge letu lina wale 60% wasiojua kitu, kulingana na Prof Assad.
Ama sivyo TRA imekuwa chombo cha uonezi mkubwa katika miaka ya karibuni.
Unapokuwa KIONGOZI lazima uwe na URIMI wa kufariji na kujenga, siyo kuropoka na kuumiza watu kwa kauli za KIJINGA.STAHA YA MANENO hapo ndipo ninapopishana na shujaa wa ufipa Ndugu LISSU.
Mengine yote mwenda zake kaenda na yake.
Hakika mkuu umenena vyema.Unapokuwa KIONGOZI lazima uwe na URIMI wa kufariji na kujenga, siyo kuropoka na kuumiza watu kwa kauli za KIJINGA.
Una ushuhuda wa kuwa amekwepa Kodi?Kijana huna hata genge unapigania biashara za Mbowe mkwepa kodi!!
Mwambie alipe kodi kwa mujibu wa sheria. Asilete janja janja.
Uwezo wako wa kufikiri naona umepungua mara tu baada ya kuachwa MJANEKwa namna kina bwashee Swai walivyojazana pale TRA ni lazima Freeman alikuwa na shida kwenye maswala yake ya kodi wasingemsulubisha boss wa chama chao!
TRA ni majanga sana hasa kipindi cha jiweAchaa urongooo. Kuna kampuni nyingine anafanya rafiki yangu wamefungiwa accounts zote za kampuni eti wana daiwa kodi ya 2014...mpaka leo hawajalipwa mshahara. Kila mwaka TRA huwapa VAT clearance certificate ikimaanisha kuwa wamelipa kodi na hawadaiwi. Huu uonezi umezidi aiseee
Tatizo hupendi kutumia ubongo kufikiria hicho kiungo unachotumia kufikiria kina walakini. Tuelezee hiyo shida kwenye masuala yake ya kodi tuneishasikia upande wakeKwa namna kina bwashee Swai walivyojazana pale TRA ni lazima Freeman alikuwa na shida kwenye maswala yake ya kodi wasingemsulubisha boss wa chama chao!
Mkuu nikupongeze sana kwa kukubali kubakia hapo chato ukiilinda kaburiAmri ya Boss wa Chama na Boss wa Nchi ipi inafatwa na watumishi? MATAGA bado hamtaki kukubali kuwa pamoja na mazuri ya SHUJAA bado alikuwa na MAOVU mengi (roho ya kufilisi matajiri, kuteka, kutesa, kuua, kubambika kesi, kuminya uhuru wa habari, kupenda kusifiwa, kunanga wapinzani, alikosa staha ya kauli, hakuwa mfariji).
Hitler aliijenga Ujerumani, aliitoa kwenye anguko la uchumi kwa kuanzisha programs nyingi nzuri lakini leo hii sehemu mashuhuri ya historia yake ni kuteka, kutesa, kuua na kuminya wapinzani!
SHUJAA alikuwa na both sides of the coin, let's accept that.
M. Kayamba
Kaburini Chato
Hao ndiyo waliojazana kwenye zizi la Lumumba.Katika suala hili la Mbowe, TRA wali cease hadi account binafsi.
unaweza kuta na wewe ni graduate wa Tanzania