CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,914
- 3,476
jamaa itakuwa alizaliwa na hiyo roho ya kikatili.Mkuu mbona wapo wengi waneatumia peace maker lkn wana utu?
jamaa itakuwa alizaliwa na hiyo roho ya kikatili.Mkuu mbona wapo wengi waneatumia peace maker lkn wana utu?
Hizi roho hapa kwetu hatunaga kabisa labda kwa majirani zetujamaa itakuwa alizaliwa na hiyo roho ya kikatili.
taasisi zifuatazo zinatumikaTRA imekuwa kichaka kinachotumiwa na wanasiasa kukomoa wafanya biashara.
Joni mbona unapenda kuendekeza ukanda nanna hiyo,ni muda wa mshikamano kama taifa.Kwa namna kina bwashee Swai walivyojazana pale TRA ni lazima Freeman alikuwa na shida kwenye maswala yake ya kodi wasingemsulubisha boss wa chama chao!
Jitu zima limekaa linahubir UKABILA TU.Kwa namna kina bwashee Swai walivyojazana pale TRA ni lazima Freeman alikuwa na shida kwenye maswala yake ya kodi wasingemsulubisha boss wa chama chao!
Mimi Kada wa CCM , lakini siasa vindictive sizipi nafasi kama mtu uko objective.*TUHUMA ZA MBOWE ZINAACHA MASWALI MENGI.
*
Mbowe kabla hata ya kujisafisha na uongo wake wa kulewa na kuangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya kisha kulitangazia taifa kwamba amepigwa na wasiojulikana, amekuja na igizo jingine kwamba alifilisiwa na akaunti zake zote zilifungwa na TRA!!
Kama ni kweli alikuwa wapi kuyasema haya? Badala yake akawa anaitisha press conference akiwa amevaa gloves feki huku akiwa amejifungia kwenye lockdown hewa.
Ina maana Mbowe alikuwa tayari kuita waandishi wa habari na kuwaelezea alivyokimbia bunge na kwenda lockdown uchwara kuliko kuwaelezea alivyofungiwa akaunti zake zote ikiwemo ya mshahara?
Mbowe hili ni taifa la watu wanaojitambua na kamwe hutafanikiwa kwenye hiyo biashara yako mpya uliyokula 10% ili ulete chanjo ya corona nchini.
Mkuu hawa ndio Mzee Mwinyi kasema ....mnataka kuleta balaa........!Joni mbona unapenda kuendekeza ukanda nanna hiyo,ni muda wa mshikamano kama taifa.
Unless wewe ni pusi wa elimu, nabaki kjiuliza ni nini usichoelewa hapo.Katika suala hili la Mbowe, TRA wali cease hadi account binafsi.
unaweza kuta na wewe ni graduate wa Tanzania
Unayotoa wewe unapopumuliwa!Hizi ni athari za akili iliyochanganyika na haja kubwa.
Mwingine huyo, kumbe mpo wengi. Jitahidi kuficha ujinga wenu. TRA hawa-cease bali wana seizeUnless wewe ni pusi wa elimu, nabaki kjiuliza ni nini usichoelewa hapo.
Tazama dictionary kma unaifahamuMwingine huyo, kumbe mpo wengi. Jitahidi kuficha ujinga wenu. TRA hawa-cease bali wana seize