Katika suala la Mbowe, TRA mmeanikwa 'ukwarukwaru' wenu

Tatizo hupendi kutumia ubongo kufikiria hicho kiungo unachotumia kufikiria kina walakini. Tuelezee hiyo shida kwenye masuala yake ya kodi tuneishasikia upande wake
Huyo ni sawa na gunia la mazoezi hana akili kabisa.
 
Kijana huna hata genge unapigania biashara za Mbowe mkwepa kodi!!
Mwambie alipe kodi kwa mujibu wa sheria. Asilete janja janja.
Tatizo la upumbavu wa MATAGA, kwa hiyo kwa kufungua akaunt zake sasa hivi amelipa hiyo kodi? Tumia ubongo siyo hicho kiungo unachotumia kufikiria kina walakini
 
Ki ukweli TRA inatumika kama fimbo ya kuwachapa wakosoaji wa serkali na vyama vya Upinzani nchini.Jambo ili likiachwa litalighalimu Taifa.
 
Upumbavu mwingine, hoja zake ni ipi ambayo umeipangua? Watanzania kweli tunajitambua siyo kwa propaganda uchwara. Hayo maneno ya khanga peleka Lumumba
 
Ombi lako kutaka kuolewa na Mbowe tumelifikisha,subiri utaitwa ila uje na talaka toka kwa mumeo wa sasa yasije yakamkuta kama yaliyomkuta Dr. Slaa alivyopora mke wa Mahimbo.
 
Tatizo la upumbavu wa MATAGA, kwa hiyo kwa kufungua akaunt zake sasa hivi amelipa hiyo kodi? Tumia ubongo siyo hicho kiungo unachotumia kufikiria kina walakini
Kwa hiyo kama halipi kwa hiari yake serikali ikampigie magoti sio. Tii sheria Bila shurti mbn wafanyakazi wanakatwa juu kwa juu na wako calm tu ndugu.
 
Kwa hiyo kama halipi kwa hiari yake serikali ikampigie magoti sio. Tii sheria Bila shurti mbn wafanyakazi wanakatwa juu kwa juu na wako calm tu ndugu.
Unajua maana ya UPUMBAVU?
Ni kuona KWELI
Kuijua KWELI
Lakini kuamini UONGO.
Kwa UPUMBAVU wako wa kuamini UONGO unataka na sisi tuamini UONGO ili tuwe WAPUMBAVU kama wewe? Hata waliokuwa mabingwa wa kuamini na kuaminisha wengine uongo Polepole na Bashiru wametulia, umebakia wewe unayejiona hard core PUMBAVU.

POLE
 
Kwa Hiyo wewe ndo una akili? Hebu tuonyeshe hizo akili kama kweli unazo, huyo mtu wenu Bado mnamuamini pamoja na kuwacost kila mara?
 
Kwa namna kina bwashee Swai walivyojazana pale TRA ni lazima Freeman alikuwa na shida kwenye maswala yake ya kodi wasingemsulubisha boss wa chama chao!
TRA walikuwa wanafanya wanavyotaka. Ndio maana kila mfanyabiashara wa Tanzania ana malimbikizo ya kodi na wanadai kodi wamepata cha juu cha kutosha
 
Kwa Hiyo wewe ndo una akili? Hebu tuonyeshe hizo akili kama kweli unazo, huyo mtu wenu Bado mnamuamini pamoja na kuwacost kila mara?
Wewe PUMBAVU, mtu wetu nani na anatucost nini? Unajua ni vigumu kumuelewa PUMBAVU? Be specific halafu jikite kwenye hoja
 
Wewe PUMBAVU, mtu wetu nani na anatucost nini? Unajua ni vigumu kumuelewa PUMBAVU? Be specific halafu jikite kwenye hoja
Sio bure wewe utakua unakaa kwa shemeji yaani kwa dadako. Una moyo sana lakini. Maana shemeji yako atakua anapeleka moto kwa hasira.
 
Sio bure wewe utakua unakaa kwa shemeji yaani kwa dadako. Una moyo sana lakini. Maana shemeji yako atakua anapeleka moto kwa hasira.
Sema uwezavyo ila nimekujua UPUMBAVU wako hunipi shida kama vile mbwa ukimjua jina lake
 
Sema uwezavyo ila nimekujua UPUMBAVU wako hunipi shida kama vile mbwa ukimjua jina lake
Si mnachangaga haya changeni tena mlipe kodi za Mbowe. Nyie mnachanga yeye anapeleka kuwekeza nje ya nchi. Vipi chanjo ya astrzeneca kawaleteani pia wanachama wake?
 
Si mnachangaga haya changeni tena mlipe kodi za Mbowe. Nyie mnachanga yeye anapeleka kuwekeza nje ya nchi. Vipi chanjo ya astrzeneca kawaleteani pia wanachama wake?
The more you talk the more you expose your foolishness, hivi kwa nini usikae kimya kuficha ujinga wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…