Katika suala la Mbowe, TRA mmeanikwa 'ukwarukwaru' wenu

TRA endeleeni kukusanya KODI kwa Mujibu wa taratibu na sheria.

Kamwe maaafisa wa kukusanya Kodi na viongozi wote kwa Ujumla wa TRA wasirudi nyuma wala kuyumbishwa na maneno ya wakwepa kodi.

Bila Kodi Taifa letu haliwezi kupiga Hatua ya maendeleo.

Tulipe kodi kwa mujibu wa sheria iliyopo, tusikwepe kulipa kodi.
 
Kuna
TRA imekuwa kichaka kinachotumiwa na wanasiasa kukomoa wafanya biashara.
taasisi zifuatazo zinatumika
1. TRA
2. TAKUKURU
3. Polisi
Yaani ukichomoa huku, wengine hawa hapa...!!!

Yule mfanyabiashara aliyempa GARI MREMA mwaka 1995 wakati anahama CCM, alikiona cha moto baada ya tukio lile
 
Mimi Kada wa CCM , lakini siasa vindictive sizipi nafasi kama mtu uko objective.

Siasa zilianza kuwa za kikabila, watu wanateuliwa kwa misingi ya kule kanda yetu pendwa ya ziwa.

Kodi za kukomoa watu na jinsi ya kabila lake.
Hii ni kubomoa umoja kuliko kujenga , tujikite katika kujenga mshikamano kama Taifa.
Joni mbona unapenda kuendekeza ukanda nanna hiyo,ni muda wa mshikamano kama taifa.
Mkuu hawa ndio Mzee Mwinyi kasema ....mnataka kuleta balaa........!
 
Mwingine huyo, kumbe mpo wengi. Jitahidi kuficha ujinga wenu. TRA hawa-cease bali wana seize
Tazama dictionary kma unaifahamu
Cease-come to an end!

Sasa kama akili yako ina ukungu endelea kuamini ya kwako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…