Katika tasnia ya kamali Kanji (Mhindi) ni nani?

Katika tasnia ya kamali Kanji (Mhindi) ni nani?

Pain 01

Member
Joined
Jan 16, 2022
Posts
64
Reaction score
62
Habari za kushinda wana wa jf,

Bila kuwachosha niwaulize moja kwa mojaaa wengi katika masuala ya kubeti huwa mnampania kummpiga kanji hii haitegemei na kampuni.

Bali kila mtu mara muhindi kanila au kanji, hii nadharia ya kanji au muhindi wakuu imekuaje ....imekuaje kampuni ziko njingi lakin kila mtu anamtaka amle kanji kwa wanaobeti na wasafi beti kwanini msiseme mnamla chibu, betpawa msiseme betpawa na gwala bet ni gwalabet na sportybet ni sporty bet

Nimejaribu kufatilia kidgo hii industry ya ku beti bado nna swlai nawaletea kwanini kanji?
 
Pioneer wa hizi betting kwa bongo walikuwa wahindi,
Premier betting na M-bet,
Ndo mana watu wakawa wanasema wanawala wahindi
 
Back
Top Bottom